Joyce Kiria: Nilikubali kuolewa kwasababu ya umaskini na sio upendo

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382


Mwanaharakati wa haki za wanawake na mjasiriamali Joyce Kiria, amesema sababu ya Ndoa yake ya kwanza kuvunjika ni kwakuwa hakuingia kwenye Ndoa hiyo kwa Upendo bali ni kwakuwa hakua sawa kiuchumi.

Kwa upande mwengine Kiria amewashauri wanawake wasiingie kwenye Ndoa kwaajili ya kupunguza ugumu wa maisha, bali waingie kwa Upendo wa kweli.

Credit - HabariMtandaoni
 
Kwamba alikuwa amevunja ungo na hana hamu ya tendo ila ana hamu ya kuondoa umaskini?

Watoto wa matajiri au wanawake matajiri wanao olewa na kuachika inatokana na nini?
 
dah maisha haya ww ufanye alafu uwashauri wenzako wasifanye...... mda mwingine nawaangalia hawa wanawake wa mjini nawasikitikia sana......
 
Joyce Kiria (alizaliwa Marangu, Mkoa wa Kilimanjaro, mnamo Desemba 1980). Kwa sasa ana Miaka 44, ni MCHAGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…