Wote mliodhulimiwa haki yenu Mungu yupo yawezekana machozi yenu ndio yalifanya chadema isishinde uraisi uchaguzi uliopita. Sababu walipora haki ya mnyonge anayestahili ili wawape wasio na sifa. Mwachieni Mungu anajua cha kuwafanyia waliodhulumu haki za wengine atawashughulikia WaoKuna wakati naona ccm ina unafuuu kuliko chadema..! Zimwi likujualo chadema bhana nyie hamuaminiki mnajua..
Kaanzishe mada yako acha kuchomekea mada za watu wengineMbona Anna Abdalla na Pius Msekwa na Rashid Kawawa Kikwete kazaa na Viki Kamata
Mnoo chief.. watu wanajitia upofu tu, kisa wanapenda mtu au chama fulani, hata kama kaboronga atatoka mishipa ya shingo kutetea, na wanasiasa wanajua kama wafuasi wao ni machiz, wanatumia hii km advantage.Hii kitu kwenye hii nchi ya wanafki siku tukiielewa comment yako. Tukapambana kujiweka sawa kwenye maisha yetu ya kila siku nakuacha kutumia nguvu nyingi kumtetea mwanasiasa. WaTZ tutafika mbali sana.
Akuu mimi niko na mahututi wetu ccm..!Wote mliodhulimiwa haki yenu Mungu yupo yawezekana machozi yenu ndio yalifanya chadema isishinde uraisi uchaguzi uliopita. Sababu walipora haki ya mnyonge anayestahili ili wawape hawara zao. Mwachieni Mungu anajua cha kuwafanyia maruhuni waliodhulumu haki yenu Wao na hawara zao
Inafanana hii ya upande Ile na ile ya upande huu ngumu kumezaKaanzishe mada yako acha kuchomekea mada za watu wengine
Nepotism chadema ni kubwa mno tundu Lisu na kujitia mtetezi sana viti maalumu singida alimpa Dada yakeKuna wakati naona ccm ina unafuuu kuliko chadema..! Zimwi likujualo chadema bhana nyie hamuaminiki mnajua..
Ndio naweza kuwa mchafu lakini sio public figure, Mbowe ni public figure.Jichunguze kwanza mwenyewe kama ni msafi kabla ya kumsema mwenzako!!!
Nani kakuambia Jokate ni usajili mpya? Jokate kitambo sana ypo chamani. Utakuwa bavicha hujui ya uvccm.
Toa ushamba wako hapa,Hivi hamna mengine ya kuandika humu?Tafuteni habari za uchumi kilimo elimu michezo nazo muandike.fanyeni utafiti wa mambo hayo.msing'ang'ane na shilawadu.
Nepotism chadema ni kubwa mno tundu Lisu na kujitia mtetezi sana viti maalumu singida alimpa Dada yake
Anzisha maada yako basiHawa ghasia,kawawa,makamba,celina combani,mama salma,sitta,le mutuz family,mwinyi,liz 1,wazir wa fedha aliefia south kampa mtoto wake huko iringa,
Ccm inawenyewe
MKIMALIZA KUWATAJA WA CDM TAJENI WA CCM.
MIMI NAANZA NA
1. Halima bulembo (mtoto wa alyekuwa mwenyekiti wazazi-CCM na meneja kampeni wa JPM)
2.
3.
4.
Two wrongs don't make a right Kama kazi ya upinzani ni copy and paste Ya CCM basi hakuna haja kuchagua upinzani ni kuendelea na CCM wanako copy na ku pasteHawa ghasia,kawawa,makamba,celina combani,mama salma,sitta,le mutuz family,mwinyi,liz 1,wazir wa fedha aliefia south kampa mtoto wake huko iringa,
Ccm inawenyewe
Two wrongs don't make a right Kama kazi ya upinzani ni copy and paste Ya CCM basi hakuna haja kuchagua upinzani ni kuendelea na CCM wanako copy na ku paste
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Anzisha maada yako basi
Anzisha maada yako basi
Hapa umeficha ujumbe mkuu [emoji40]Nampongeza sana Waziri Kairuki kua Waziri wa kwanza wa Madini Mwanamke. Namkubali pia Waziri wa Afya ni jembe.