Joyce Ndalichako na Kiingereza kibovu tena

Lakini kwa level ya Waziri tena wa Elimu hapaswi kuwa na kingereza kibovu kiasi hicho. Kama yeye ni Mathematician basi aende labda BOT au kwenye issue za statistics aache kutia aibu wizara.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna akili ,aliyekwambia kujua English ndiyo ishara ya usomi ni nani?

Karne hii bado unaamini anyeongea kiingereza vizuri ndiyo msomi??

Hovyo kabisa ,shithole mind.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokujua sio tatizo.., hell most of us knows nothing..., tatizo ni kutumia / kufanya kile usichokijua kuwasilisha kile unachokijua wakati una option ya kukiwasilisha vinginevyo....
 
Wewe hata ngumbaro au QT hujasoma kaa kimya. Ona kwenye maandishi yako unaandika ndalichako badala ya Ndalichako
 
Ww mwenyewe tukikwambia uongee Kingereza kwa masaa sita tu hapa utaleta mambo ya ajabu

Hii lugha sio yake, mbona Obama nakosea Kiswahili?
 
What if anajua kifaransa zaidi ya kiswahili na kiingereza?
What if anaweza kuandika zaidi, kuliko kukiongea, je u-prof wake utaendelea kuwa questioned?!
 
Usimjibu mpumbavu sawa na upumbavu wake usije kufanana naye.... (Mithali 24:6)
 
Mkuu:
Hayo ni kweli kabisa.
Hivi huyu Prof. alikuwa anafundisha kwa lugha ipi?
Na hata hayo machapisho yake anayatoa kwa lugha ipi?
 
Kuna mzungu mmoja huwa anauliza "did you saw him"?

Angekua mswahili!!!!sipati picha.
 
Ww mwenyewe tukikwambia uongee Kingereza kwa masaa sita tu hapa utaleta mambo ya ajabu

Hii lugha sio yake, mbona Obama nakosea Kiswahili?
Tumeshauri atumie Kiswahili la sivyo kama ataendelea kulazimisha iko siku ataachia haja ndogo kwa kujilazimisha kutafuta maneno
 
Media ya ufundishaji Tanzania ni ipi? Hata hizo data akizikusanya kwa Kiswahili anapoenda kuandika report na kuzitafsiri atatumia lugha gani?
Huwezi kuwa unaelewa ulichojifunza tena mpaka ukawa Professor wakati unashindwa hata zungumza kwa kiwango cha kawaida hiyo lugha uliyotumia kupata elimu hiyo.
Hatusemi azungumze kama Mwingereza lakini Ndalichako hata uzungumzaji basic kabisa unamshinda inshangaza sana tena sana si kidogo.
 
Lakini kwa level ya Waziri tena wa Elimu hapaswi kuwa na kingereza kibovu kiasi hicho. Kama yeye ni Mathematician basi aende labda BOT au kwenye issue za statistics aache kutia aibu wizara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sahihi pia angeenda uko ila kumbuka amekaa sana Udsm na pale NECTA so anatufaaa hapa kwenye uwaziri zaidi kuliko huko angetakiwa awashawish wahisani she is the Experienced lady in this area
 
Kuna mzungu mmoja huwa anauliza "did you saw him"?

Angekua mswahili!!!!sipati picha.
yani kisa ni mzungu basi unaamini yupo vizuri kwenye lugha ya kiingereza, English ni lugha kama lugha nyingine, kuna wengine ni lugha yao ya kuzaliwa wengine tunaijua kwa kujifunza, point inakuja Profesa mzima tena waziri wa elimu inakuaje lugha ya kiingereza inamtatiza? nini shida?
 
Huna akili ,aliyekwambia kujua English ndiyo ishara ya usomi ni nani?

Karne hii bado unaamini anyeongea kiingereza vizuri ndiyo msomi??

Hovyo kabisa ,shithole mind.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa nini hajui kiingereza wakati amekuwa exposed kwenye level ya PHD?.....kweli ni aibu kwa Dr kuongea broken English vinginevyo lisitumike neno Dr wala PHD itafutwe kiswahili chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…