GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,542
Maskini Tanganyika!!! Huyu ni waziri wa elimu! [emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni lugha iliyokuja na meli mbona Taarifa za hukumu kwenye mahakama zenu zinaandikwa kwa hiyo lugha ?, mbona hamjawahi kuikataa ?!, na ndio maana mnaandikiwa hukumu ambayo hata hamuwezi kuihoji kwa sababu imeandikwa kwa lugha isiyo yenu, mahospitalini kote umewahi kukuta Daktari anaandika kwa Kiswahili ?.Upumbavu ni hii mada yako ya kejeli na dharau.
Nina uhakika babu aliyemzaa babu yako alikuwa anatembea almost uchi leo hii unaleta mbwembwe za lugha iliyokuja na meli.
Ukileta sampo ya Broken English aliyoongea Morinho nipigwe ban ya maisha.Daaah,wabongo wengi bado wanaamini kwamba,kujua ki-english fasaha ni kuwa mwerevu.
Jose Mourinho kocha wa Spurs bado anaongea broken English mpaka kesho pamoja na kuish England miaka kibao ,sasa sijui nayeye KILAZA kwa mujibu wa 'wasomi' wetu hapa???
Apo umesema ukweli kuna uwezekano sio kama watu hawajui Ila hawa-practiceLugha yoyote inahitaji practice, tatizo hapa Tanzania unaweza ukakaa mwaka mzima kwenye maeneo fulani usipate hata mtu moja wa kuongea naye hiyo lugha.
Ktk nchi kama Kenya, Uganda, Zambia, Zimbabwe, SA, Malawi, Botswana nk wanatuzidi mbali kwa sababu kiingereza ndio lugha yao ya pili na ndio inayotumika kufundishia ktk ngazi zote za elimu wakati sisi ni kiswahili hadi wengine hawawezi hata kuongea kilugha.
Hata mie niliyedrop masomo ya History; Geography na Biology nikiwa kidato cha pili namzidiRudia post yako kwa kutumia kiingereza
Akapractise huko na mabeberu ili hizo tafsiri za kutoka kwenye Kiswahili kwenda kwenye Kiingereza zipotee.Mkuu kwa hiyo unataka Profesa akajifunze na wakati alishakaa darasani miaka kibao !?, na watoto wetu wafanyeje ?, huyo ni kilaza hana lolote, Uprof wa kuunganisha na gundi
Hii nayo ni habari?
Jamani tuache ujinga basi maana nyie wenyewe mfumo wetu wa elimu mnaujua.
Mtu mwingine mpaka anapata PhD neo analoweza kulitamka kwa ufasaha ni 'is'.
yaani unataka kushindana na phd?huyu mama kasoma hiyo ni lugha tu mbona wengine kiswahili nacho ni shida
Kwa sababu ajasomea things of social science theories in nature.
Yeye anajua mambo ya number systems, structures, spaces, changes, game theory etc with mathematical theories. If you expand those theories it’s an entire different world with so many avenues to master and things can get very complicated if you don’t have the head.
Na Career path ya mathematicians sio managerial post za kisiasa, kwa level zake alitakiwa kuwa BoT huko ana crunch numbers au sehemu zozote ambazo mathematic za level yake inahitajika.
Eitherway ukisikia mtu ana ata first degree za mathematics kubali tu ni kichwa na PhD ndio kabisa. Sasa aina maana kila sehemu anafaa Ndalichako as minister she comes across as incompetent and she is in that area ata ukimsikiliza unaona huyu mama ni clueless kwenye hayo maswala.
Ukileta sampo ya Broken English aliyoongea Morinho nipigwe ban ya maisha.
FYI : Morinho anaongea lugha zaidi ya tano kwa ufasaha.
Bora angeandika na kusoma ...............!!What if anajua kifaransa zaidi ya kiswahili na kiingereza?
What if anaweza kuandika zaidi, kuliko kukiongea, je u-prof wake utaendelea kuwa questioned?!
she is not be able to speak a good English ndiyo nini sasa na wewe.Hapana sio kweli, kuanzia form one mpaka PhD unatumia English kusome, how come someone with PhD she is not be able to speak a good English
Ni kihaspania hiko huwez elewashe is not be able to speak a good English ndiyo nini sasa na wewe.
Wewe mwenye kingereza kizuri mbona unashinda tu humu ndani pasipo msaada wowote kwa taifa lako.
Kingereza ni lugha yetu ya pili kumbuka sisi sio kama wakenya ambao wanakijua vyema kingereza wakibebwa na mazoezi ya maongezi ya kila siku na kila mahali.
Achana na mawazo ya kishamba na kitumwa.
Mkuu, bora tuendelee tu na Kiswahili chetu ..... wote tunajua hili ni tatizo la Kitaifa. Waziri wa elimu ameonyesha picha halisi.Let us disscuss the topic in english!
One of the simple task in this world is to see some one mistakes!
Sent from my iPhone using Tapatalk
Ww mwenyewe tukikwambia uongee Kingereza kwa masaa sita tu hapa utaleta mambo ya ajabu
Hii lugha sio yake, mbona Obama nakosea Kiswahili?
Hoja yangu nilishaitoa ila ya kwako sijaiona badala ya swali....
Hebu sema unachokisimamia nami nipate kujifunza...
Angalizo:Tusibishane bali tuelimishane!!!
Sent using Jamii Forums mobile app