KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Kiingereza ni somo au taaluma kama ilivyo fizikia au kemia, ndo mana pia yanamitihani.yani kisa ni mzungu basi unaamini yupo vizuri kwenye lugha ya kiingereza, English ni lugha kama lugha nyingine, kuna wengine ni lugha yao ya kuzaliwa wengine tunaijua kwa kujifunza, point inakuja Profesa mzima tena waziri wa elimu inakuaje lugha ya kiingereza inamtatiza? nini shida?
Kwani ukifeli kiingereza pekee (F)na masomo mengine ukafaulu kwa viwango vya juu, huwezi kuwa mentioned kwenye 10 bora tz?