Joyce Ndalichako na Kiingereza kibovu tena

Kiingereza ni somo au taaluma kama ilivyo fizikia au kemia, ndo mana pia yanamitihani.

Kwani ukifeli kiingereza pekee (F)na masomo mengine ukafaulu kwa viwango vya juu, huwezi kuwa mentioned kwenye 10 bora tz?
 
Sasa mama na PHd yake aongee kiingereza cha housegirl wa muhindi?
 
Huna akili ,aliyekwambia kujua English ndiyo ishara ya usomi ni nani?

Karne hii bado unaamini anyeongea kiingereza vizuri ndiyo msomi??

Hovyo kabisa ,shithole mind.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa kujua kuongea kiingeleza au kutojua kabisa si kigezo kwamba huna akili, na ndiyo maana mtoa hoja na wachagiaji wote hakuna aliyesema kwamba Prof. ni mbumbumbu la hasha!!.

Kwa nchi yetu lugha ya Kiingeleza ni ya kitaaluma; na ndiyo maana tunaanza kuitumia kuanzia darasa la 9 na kuendelea, Kwa hiyo mwanataaluma kutojua kuiongea kwa usahihi hapa ndipo ukakasi ulipo.

Mtoa hoja bado ana hoja.
 
Wewe hata ngumbaro au QT hujasoma kaa kimya. Ona kwenye maandishi yako unaandika ndalichako badala ya Ndalichako
Kiazi wewe jibu hoja....English grammar inahusiano gani na utendaji wa Ndalichako? Sitaki kurudi kunye level ya shule ya yule mama tukalinganisha na huko kwenye chama chenu. Jibu hoja za msingi za kiutendaji zilizoathiliwa na hiyo grammar ambayo ninyi chamani kwenu form 6 mlitoka na zero.
 
Mchungaji Msigwa anaongea Kiingereza fasaha kuliko huyu Msomi uchwara

Huyu mama kapewa kibarua kwa sababu ys uhutu wake
 
acha kutetea ujinga boya wewe, kiloja kinakuja Profesa mzima tena waziri wa elimu inakuaje anaongea kiingereza kibovu?
 
Kiingereza ni somo au taaluma kama ilivyo fizikia au kemia, ndo mana pia yanamitihani.

Kwani ukifeli kiingereza pekee (F)na masomo mengine ukafaulu kwa viwango vya juu, huwezi kuwa mentioned kwenye 10 bora tz?
Kiazi hajui hayo yote. Halafu sijui maendeleo ya China au Dubei yameletwa na Lugha ya Kiingereza?
 
Hata mie niliyedrop masomo ya History; Geography na Biology nikiwa kidato cha pili namzidi.

Ila wao wanasema ni kigugumizi ndiyo kinamsumbua.
Fuso umesoma sekondari ya ufundi nini!
 
acha kutetea ujinga boya wewe, kiloja kinakuja Profesa mzima tena waziri wa elimu inakuaje anaongea kiingereza kibovu?
Kiingereza kwa Tanzania ni somo kichwa maji wewe........ mtu aliyepata F kiingereza lkn masomo ya sayansi akapata A zote ni wa maana zaidi kuliko aliyepata A kiingereza anafail sayansi. Uthamani wa mama Ndalichako even Academically haupo kwenye Kiingereza bali masomo yake ya sayansi ambayo ni mahiri kabisa. Zaidi ya yote kwa sasa alipo hatuangalii ujinga huo unaouzungumzia wewe Kiingrezaa bra braaaa. Tunaangalia utendaji wake. Halafu ukitaka hayo mamabo ya taaluma kaanze na cheti cha form 6 cha Mh. Philemony Aikael Mbowe halafu uje hapa useme nafasi aliyonayo kwenye chama chenu inamtosheleza au la.
 
Let us disscuss the topic in english!
One of the simple task in this world is to see some one mistakes!


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kwani huyu mama yeye ni m-Tanzania au ni mwingereza?
 
Mnategemea akajifunze wapi na hivi safari za nje zimekatazwa mpaka ukapate kibali maalumu kutoka kwa Boss ( RA-HISI)?
Mkuu kwa hiyo unataka Profesa akajifunze na wakati alishakaa darasani miaka kibao !?, na watoto wetu wafanyeje ?, huyo ni kilaza hana lolote, Uprof wa kuunganisha na gundi
 
Hata mie niliyedrop masomo ya History; Geography na Biology nikiwa kidato cha pili namzidi.

Ila wao wanasema ni kigugumizi ndiyo kinamsumbua.
Mbona kiswahili hana kigugumizi. Sasa akifundisha hivyo product ya wanafunzi wake itakuwaje?
 
Usimjibu mpumbavu sawa na upumbavu wake usije kufanana naye.... (Mithali 24:6)
Upumbavu ni hii mada yako ya kejeli na dharau.

Nina uhakika babu aliyemzaa babu yako alikuwa anatembea almost uchi leo hii unaleta mbwembwe za lugha iliyokuja na meli.
 

Acha kupotosha mada kama hao wengine. Hapa tunaongelea umahiri wa lugha kwa mtu mwenye bonge la elimu kama yeye na dhamana aliyopewa. Mada ya werevu ama ujiniasi unaweza kuanzisha ukitaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…