Joyce Ndalichako na Kiingereza kibovu tena

Upumbavu ni hii mada yako ya kejeli na dharau.

Nina uhakika babu aliyemzaa babu yako alikuwa anatembea almost uchi leo hii unaleta mbwembwe za lugha iliyokuja na meli.
Kama ni lugha iliyokuja na meli mbona Taarifa za hukumu kwenye mahakama zenu zinaandikwa kwa hiyo lugha ?, mbona hamjawahi kuikataa ?!, na ndio maana mnaandikiwa hukumu ambayo hata hamuwezi kuihoji kwa sababu imeandikwa kwa lugha isiyo yenu, mahospitalini kote umewahi kukuta Daktari anaandika kwa Kiswahili ?.
 
Ukileta sampo ya Broken English aliyoongea Morinho nipigwe ban ya maisha.

FYI : Morinho anaongea lugha zaidi ya tano kwa ufasaha.
 
Apo umesema ukweli kuna uwezekano sio kama watu hawajui Ila hawa-practice
 
Mkuu kwa hiyo unataka Profesa akajifunze na wakati alishakaa darasani miaka kibao !?, na watoto wetu wafanyeje ?, huyo ni kilaza hana lolote, Uprof wa kuunganisha na gundi
Akapractise huko na mabeberu ili hizo tafsiri za kutoka kwenye Kiswahili kwenda kwenye Kiingereza zipotee.
 
Kati ya hawa mawaziri Wahutu ni Mpango pekee yake ndio huwa anatema yai lakini huyu mama na Kigwa na wenzake ni bure kabisa
 
Hiki unachokiongea kinathibitisha hujui lolote.

Mtu yoyote mwenye degree anapaswa kuwa na managerial skills maana mambo mengi atakayokutana nayo yatakuwa yanayohusu management.

Sasa unaposema phd holder alitakiwa huko benki anacrunch namba inamaana angekuwa nafanyi kazi za management??

Akili mbovu sana hizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukileta sampo ya Broken English aliyoongea Morinho nipigwe ban ya maisha.

FYI : Morinho anaongea lugha zaidi ya tano kwa ufasaha.

Kama unapinga kuwa Mourinho haongei broken English sometomes,basi ni wazi wewe sio mfuatiliaji wa press conference zake,no need for sample,anza kumfuatilia tu.
 
Ila kweli inachekekesha na kuleta maswali mengi, waziri wa elimu hawezi kuongea sentensi moja ya kingereza iliyonyooka!! Achana na jiwe mana huyo ndiyo balaa sasa na wote wana PhD eti
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Let us disscuss the topic in english!
One of the simple task in this world is to see some one mistakes!


Sent from my iPhone using Tapatalk
Mkuu, bora tuendelee tu na Kiswahili chetu ..... wote tunajua hili ni tatizo la Kitaifa. Waziri wa elimu ameonyesha picha halisi.

Tatizo tu ni kama wageni waalikwa walimuelewa au waliupata ujumbe wa mama!!
 
Hoja yangu nilishaitoa ila ya kwako sijaiona badala ya swali....

Hebu sema unachokisimamia nami nipate kujifunza...

Angalizo:Tusibishane bali tuelimishane!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Umedai kuwa English ni lugha ya tatu (sijui ni ya tano) lakini ukweli ni kuwa English ndio official business and legal language kwa Tanzania. Sasa iweje PhD holder aliesoma elimu yake yote kwa Kiingereza, kafanya kazi katika mazingira Kiingereza kinapotumika ashindwe kuongea passable English? Unaona ni jambo la kawaida kabisa hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…