Joyce Ndalichako na Kiingereza kibovu tena

Ni sahihi pia angeenda uko ila kumbuka amekaa sana Udsm na pale NECTA so anatufaaa hapa kwenye uwaziri zaidi kuliko huko angetakiwa awashawish wahisani she is the Experienced lady in this area
Basi atumie kiswahili kwani ni lugha yetu pia, don't hunt what you can not kill.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunasoma kwa kingereza kuanzia form one mpaka chuo kikuu.

Inawezekanaje mtu awe msomi tena wa PhD halafu asijue lugha aliyotumia kusoma?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kupotosha mada kama hao wengine. Hapa tunaongelea umahiri wa lugha kwa mtu mwenye bonge la elimu kama yeye na dhamana aliyopewa. Mada ya werevu ama ujiniasi unaweza kuanzisha ukitaka.

Kwako wewe mtu mwenye "bonge la elimu"unampima kwa umahiri wake wa kuongea English?

Vp unadhani amepewa hiyo dhamana aliyonayo hivi sasa kwa uwezo wake katika kuongea English?

Kwanini usihoji anafanya jitihada gani kuhakikisha elimu ya Tanzania inawawezesha wahitimu kujitegemea katika kila nyanja?
badala yake unahoji uwezo wake wa kuongea English kwa ufasaha?
 
Usipaniki babu, hakuna aliyohoji utendaji wake, ishu ni kwa nini Waziri wa Elimu level ya PhD hajui lugha ya Malkia kwa ufasaha?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Marekani Zambia,South Afrika,Uganda na Kenya ilifika kwa meli.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jose Mourhino ni mcheza mpira au kocha wa mpira. Joyce ni PhD holder na mwalimu na sasa waziri. Acha kutetea ujinga

Unataka kusema nini hapa kwenye Mourinho ni mcheza mpira au kocha?
Mtu akiwa PhD holder kwako wewe ina maana gani?
 
Ukisema Mbowe hajui kingereza mimi sishangai kwa sababu ya level ya elimu yake, lakini msomi wa PhD kuongea broken ki kituko cha dunia.Kumbuka hatuzungumzii utendaji wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Waziri hafai kuwa Waziri wa Elimu inaonekana hiyo Elimu yake ni ya kununua
 
Punguza Ugoro.
Umewahi kumsikia Jose Mourinho akiongea broken English? Mourinho unaongea English fasaha,nenda karudie kusikiliza au kuangalia video zake mkiwa pamoja na Ras Simba.
Anazungumza lugha nyingine 5 kubwa duniani na hana hata masters katika elimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisema Mbowe hajui kingereza mimi sishangai kwa sababu ya level ya elimu yake, lakini msomi wa PhD kuongea broken ki kituko cha dunia.Kumbuka hatuzungumzii utendaji wake

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kumbuka kwamba,kwa mtu yeyote kuongea ama kutokuongea english fasaha hakuna uhusiana wa moja kwa moja na elimu aliyonayo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…