KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
"Kitaaluma kuwa vizuri" ni pamoja na kuwa na uwezo wa kuiwasilisha hiyo 'taaluma' uliyo nayo.Iyo sentensi uliyo andika mwishoni umeandika kiswahili au ki kwenu maana usije ukawa una mkosoa Ndalichako kumbe wewe mwenyewe popoma. Ki taaluma uyo Mama Ndalichako yuko vizuri kwaiyo usimchukulie poa.
Sent using Jamii Forums mobile app
So? Is this also meant to serve as an excuse? It all started with one being given the same lame excuse for being a Chemist and now what was that again? A Mathematician, my foot! Next it will be a Physicist, then a Doctor, then an Accountant, then a Pilot, then what next? An Engineer? A Lawyer? An Auditor? A Banker? A Philospher? A Statistician?...and where will all this end? A Govenment worker? A Factory manager? a Locomotive driver? a Nurse? a Technician? a Bull-dozer or what? Some excuses are so stupid they'd make you want to throw up?She is a mathematician
Sawa lkn tangazo la ajira lilikuwa linasema awe anajua kuongea kiingereza vizuri.Hivi Kuongea English ndio Ishara ya usomi!???
Watanzania English sio lugha yetu ya kwanza wala ya pili,mara nyingi tunaitumia tuwasilianapo na wageni na pia katika shughuli za kiofisi!!
English sio lugha yetu mama hivyo huwezi ukaiongea kama ambavyo inaongelewa America na Uingereza...Halafu tambua yeyote anayejifunza English ukubwani lazima akumbane na changamoto kwenye kuongea...
Kwa Mfano ili uwe mjuvi wa English lazima uwe mzuri kwenye" Pronunciation " hapa hubeba asilimia 60 kwenye uongeaji wa lugha hii..
"Stress" Mikazo ya maneno hapa napo ndipo shida hutokea kwa watu ambao English sio lugha mama na hapa hubeba asilimia zisizopungua 40.
Intonation,Rythm...kila lugha ina mfumo wake na mpangilio wake wengi kiswahili kimetuathiri sana na hzi lugha zetu za makabila...
Ni ngumu kuongea English yenye kupendeza masikio ya watu tusiongee kwa mihemko aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
People are not examined orally when producing their thesis, rather the work is assessed through structured academic writing.So? Is this also meant to serve as an excuse? It all started with one being given the same lame excuse for being a Chemist and now what was that again? A Mathematician, my foot! Next it will be a Physicist, then a Doctor, then an Accountant, then a Pilot, then what next? An Engineer? A Lawyer? An Auditor? A Banker? A Philospher? A Statistician?...and where will all this end? A Govenment worker? A Factory manager? a Locomotive driver? a Nurse? a Technician? a Bull-dozer or what? Some excuses are so stupid they'd make you want to throw up?
For one English is the second official Language of the United Republic of Tanzania after Kiswahili.Two English is the medium of instruction in the Institutions of higher learning in this country. Three English is the number one Language of the world. To be a professor in any field of learning and not be able to speak English fluently leaves a lot to be desired. To give the kind excuse like the one Prof. Ndalichako is being accorded just shows our ineptitude when faced with a problem that requires serious and seasoned remedy. Aren't we merely acting like imbeciles?
NDUGU WEWE UKO DUNIA YA NGAPI? WEWE KAMA HUJUI ENGLISH POLE YAKO. ENGLISH NDIO MAMBO YOTE.Huna akili ,aliyekwambia kujua English ndiyo ishara ya usomi ni nani?
Karne hii bado unaamini anyeongea kiingereza vizuri ndiyo msomi??
Hovyo kabisa ,shithole mind.
Sent using Jamii Forums mobile app
We acha ujinga. Kingereza ni lugha ya kigeni kwa maana mtanzania ili aweze kuitumia ni lazima afanye juhudi ya makusudi kujifunza. Ukiona mtanzania anaongea lugha hii kwa ufasaha ni lazima awe msomi (aliyepitia shule) au aliyebahatika kuishi kwa muda mrefu na watumiaji wa asili wa lugha hii.Huna akili ,aliyekwambia kujua English ndiyo ishara ya usomi ni nani?
Karne hii bado unaamini anyeongea kiingereza vizuri ndiyo msomi??
Hovyo kabisa ,shithole mind.
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa shoga ake mama.Huna akili ,aliyekwambia kujua English ndiyo ishara ya usomi ni nani?
Karne hii bado unaamini anyeongea kiingereza vizuri ndiyo msomi??
Hovyo kabisa ,shithole mind.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna akili ,aliyekwambia kujua English ndiyo ishara ya usomi ni nani?
Karne hii bado unaamini anyeongea kiingereza vizuri ndiyo msomi??
Hovyo kabisa ,shithole mind.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapopata elimu ya juu, chuo kilichotoa elimu lazima kithibitishe lugha iliyotumika kufundishia. Maana yake ni kuwa unaimudu kuiongea na kuiandika. Hii ndiyo sababu unaandika insha na kutoa mijadala kwa lugha inayotakiwa ukiwa chuoni.Huna akili ,aliyekwambia kujua English ndiyo ishara ya usomi ni nani?
Karne hii bado unaamini anyeongea kiingereza vizuri ndiyo msomi??
Hovyo kabisa ,shithole mind.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ndio vichwa tulivyovipa jukumu la kufikiri kwa niaba yetu!! Inasikitisha sana!
Yaani professor mzima anashindwa simple English namna hiyo?
Jiwe amejua kuchagua wakufanana nae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Apo kwenye neno * IS* napo ni shida zaidi tunatamka * IZ *Hii nayo ni habari?
Jamani tuache ujinga basi maana nyie wenyewe mfumo wetu wa elimu mnaujua.
Mtu mwingine mpaka anapata PhD neo analoweza kulitamka kwa ufasaha ni 'is'.
Ha ha ha!! Nomaaa
TrueHicho ni kiingereza cha ndani kabisa huko UK na ukiwa kilaza lazima mama akuache, mama anaongea KiEnglish makini sana..
Huna akili ,aliyekwambia kujua English ndiyo ishara ya usomi ni nani?
Karne hii bado unaamini anyeongea kiingereza vizuri ndiyo msomi??
Hovyo kabisa ,shithole mind.
Sent using Jamii Forums mobile app