Joyce Ndalichako na Kiingereza kibovu tena

Yes ni ishara
Representation zote ni English, masomo yote ni English, Essay zote ni English,
Kikubwa zaid ni proffessor
Kibaya zaid ni waziri wa Elim na masomo yote yanafundishwa Kingereza
Kama huamin basi unamatatizo sana
Huna akili ,aliyekwambia kujua English ndiyo ishara ya usomi ni nani?

Karne hii bado unaamini anyeongea kiingereza vizuri ndiyo msomi??

Hovyo kabisa ,shithole mind.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka Mourinho siyo waziri wa elimu wa nchi yoyote, huyu ni waziri tena wa elimu na ana PhD feki
Sent using Jamii Forums mobile app
 
lugha tu hiz jamani tusibezane sana wakenya jana walikuwa wanalalamika pia Gidion Moi (expected kenyan 5th) hajui kiswahili ..Doktari =daktari
 
Kuzungumza Kiingereza kizuri hakuna uhusiano wowote na utendaji. Rekodi ya huyu mama inambeba. Nafahamu suala hili pia linachagizwa na siasa lakini huyu mama amefanya mambo makubwa kabisa na ya maana kwa Taifa hili
 
Wewe lazima utakuwa umesoma chuo janja janja, yani unatetea waziri wa elimu siyo muhimu kujua kingereza ambacho kakitumia mpaka kupata PhD (nahisi nayo ni fake kama ya yule jamaa).
Sio lugha aliyozaliwa nayo sioni shida hapo ili mradi aeleweke tu kwa hadhira anayozungumza nayo,hata huko mavyuoni tumefaulu lakini si kwa kuandika kiingereza kizuri ila kwa kumwaga points kwenye swali uliloulizwa na msahihishaji akanielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama umeelewa mada. Anyway ndiyo uwezo wako ulipoishia.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu komesha kabisa. Na kwa utamaduninwetu, kiingereza ni lugha ya kisomi. Ukweli huo utabaki umesimama nje ya nchi na ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wewe ulishamcheka yoyote anayeongea kiswahili kwa kukosea kosea? Lakini kama uko timamu na umesoma mpaka level ya PhD na bado unayumba yumba kwenye hiyo lugha uliyoitumia mpaka level hiyo wewe ni kilaza kama vilaza wengine tu.
Kuna vitu hata usipovijua vinakuwa havina madhara wala umuhimu wowote. Mzungu huwezi kuta anamcheka mwongea broken Ila sisi tulioikuta hii lugha shuleni tunachekana, hovyo kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afanye asifanye mambo makubwa lakini yeye kama waziri wa elimu lazima ajue hiyo lugha, kama vp aende kwa Ras Simba
Kuzungumza Kiingereza kizuri hakuna uhusiano wowote na utendaji. Rekodi ya huyu mama inambeba. Nafahamu suala hili pia linachagizwa na siasa lakini huyu mama amefanya mambo makubwa kabisa na ya maana kwa Taifa hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe lazima utakuwa umesoma chuo janja janja, yani unatetea waziri wa elimu siyo muhimu kujua kingereza ambacho kakitumia mpaka kupata PhD (nahisi nayo ni fake kama ya yule jamaa).

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu,nazidi kusisitiza,kujua kuzungumza kiingereza vizuri sio tija na sio ndio kuwa msomi,usomi ni kwamba una content zipi kichwani,msitekwe na mabeberu kuona vyao ndio bora zaidi,kujua kidogo tu inatosha sana,na ndio maana wafanyabiashara std 7 kibao wanakwenda sana China kuchukua mizigo kwa kiingereza cha kuunga na wanafanyabiashara zao kama kawaida kwa kuwa kwa kiingereza chao hicho hicho cha kuunga wanaelewana na wachina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…