ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #81
Siwafahamu hao watu nawaona jukwaani kama wewe tuKaka ukitaka hayo ongea na lucas mwashambwa na chawa wake wanaotumiwa na ccm waache kupost pumba humu
Binafsi nawaachia wenye siasa zao za kishambaNoma sana saisa siasa imekosa mvuto
Fanya hivyoBinafsi nawaachia wenye siasa zao za kishamba
karibu sana ndugu mdau 🐒Asante kwa maoni 🤝
📌Sasa mtu anakuja na hoja, "Sa100 anapendwa na watanzania wote hadi wanabubujikwa na machozi" mtu wa namna hiyo tumfanyeje, kuna hoja gani hapo ya kujadili.
Asantekaribu sana ndugu mdau 🐒
Sawa
lucas mwashambwa kafungua uzi unasema BOT waweke picha ya mama kwenye note za pesa.
hatuwezi tukafanana kwenye kufikirirefer to your heading umesema watu waache taarabu wajenge hoja plus maneno mengine, how come uite mawazo ya wenzio ni taarabu? hiyo yote ni kwa sababu wameenda kinyume na wewe,,
ok kingine mfano kuna baadhi ya wachangiaji wamesema jukwaa limevamia na chawa wa mama, shida sio kuvamiwa ila wao wanaplay part yao kwa kutoa mawazo yao kichwani na namna wanavyo mu appreciate mtu,,, hatuwezi tukafanana kwenye kufikiri
Unaonaje maoni yake yafanyiwe kazi aulucas mwashambwa kafungua uzi unasema BOT waweke picha ya mama kwenye note za pesa.
BOT ichapishe /itengeneze pesa mpya zenye picha ya mama...JADILI
KashesheSiasa siasani
Ulitaka apewe nani, una sound kama chawa sasaKwenye hili pia lawama anapewa CCM? Ki vipi yaani?
Naunga mkono hoja https://www.jamiiforums.com/threads...nzi-zile-waurejeshe-moto-kama-ule-au.2419515/Happy Sunday guys ❤️
Wewe mdau wa jukwaa hili unakubaliana na mimi jukwaa limepoteza mvuto?
Je nini kifanyike ?
ShesRise_1 ✋️
sasa hapo utajidili nini? picha itasaidia nini? picha zilishabandikwa nchi nzima.Unaonaje maoni yake yafanyiwe kazi au
💯kila mada lazima iwe na opposing and proposing side hicho unachoweza kuita ni "pumba" ni kwasababu mtu akaenda nje na matakwa yako kwahiyo cha msingi wew focus na unayo yaona ni sawa na yasio sawa achana nayo
mfano hapo mwisho umeuliza kama mdau anakubaliana na wew kwamba jukwaa limepoteza mvuto, mind you kuna watu hawaoni kama mvuto umepotea ndo maana nyuzi za siasa hazijaacha kupostiwa humu
Tatizo la huo uzi wake ni lipi?lucas mwashambwa kafungua uzi unasema BOT waweke picha ya mama kwenye note za pesa.
BOT ichapishe /itengeneze pesa mpya zenye picha ya mama...JADILI
Akili yako imeishia hapa asante kwa maoni karibu tenaUlitaka apewe nani, una sound kama chawa sasa
Tafsiri hasa ya neno Chawa kisiasa ni ipi?Ulitaka apewe nani, una sound kama chawa sasa