kisugujira
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 774
- 200
Huko aliko kwani ni wapi??
Wee endelea kusubiri zamu yako ya kwenda mahali pema peponi ikifika, unaweza ukakutana naye!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko aliko kwani ni wapi??
Mahari (inayojulikana kama trousseau au tocher au, katika Kilatini, dos) ni pesa, mali, au mali isiyohamishika ambayo mwanamke huleta mumewe katika ndoa. [1] Hii inatofautishiana na ada ya mwali, ambayo hulipwa kwa wazazi wa bibi, na dowa, ambayo ni mali yanayowekwa kwa bibi mwenyewe kwa bwanaharusi wakati wa ndoa. Utamaduni huo huweza kkuzingatia
mahari na ada ya mwali. Mahari ni desturi ya zamani, na uwepo wake huweza vizuri umetangulia kurekodiwa kwake.
Source wikipedia swahili
Ni kweli Ikulu imebadilika sana. Kwani hata Pengo uliyekuwa umempa makazi Ikulu ametimuliwa. Na sasa ni mwanaharakati wa kisiasa. Mwaka 2010 aliongoza waamini wake akatengeneza election manifesto ya kanisa bila kusajili chama na akaikabidhi kwa Slaa baada ya kuona better chance uliyoiahidi kanisa katoliki wakati wa uhai wako ikiporomoka baada ya watu wengine kuanza kuhoji haki zao. Udikteta umepungua na watu wa uhuru wa kujieleza siyo kama ilivyokuwa wakati wako. Ile mikanda uliyotufunga kwa kipindi cha miezi 18 na baadaye kuendelea indefinitely imeanza kupungua japo kwa kidogo maana ulitufikisha kwenye impossible kabisa. Wale Wazanzibar uliowaweka kwenye ukoloni kupitia muungano feki wameanza kujitambua na sasa kuna Zanzibar Nationalism yenye lengo la kukataa ukoloni wako. Wale waislamu waliokukaribisha mjini na baadaye kukupa suruali badala ya vikaptula ulivyokuja navyo kutoka Butiama bado wanakukumbuka kwa ubaya uliowafanyia. Wanasema Mungu aendelee kukuchoma katika moto wake ili yawe malipo kwa dhuluma ulizowafanyia. Siku hizi hakuna tena foleni za dona la njano kutoka Marekani kwani unga nzuri wa mahindi, mchele kutoka Mbeya, maharage na sukari kutoka ndani na nje vinakosa walaji madukani.Baba yetu,ulitujengea taifa lisilo na ukabila japo ni taifa lenye makabila zaidi ya 120, hukuacha udini katikati yetu,ulisimamia uchumi wa nchi na ufisadi haukuonekana katika kipindi chako ikulu haikuwa inatorosha wanyama wetu wa polini kwenda nje ya nchi, hukufanya propaganda za kisiasa kama vile ikulu inavomwita Lipumba kwenda ikulu na kumpa nobel ya amani, wakati huo huo ikulu haitaki kuunda tume ya kijaji kuchunguza mauaji ya Arusha kwa njia mlipuko wa bomu,tulikuwa hatubambikizwi kesi za ugaidi....
Ikulu sasa ni mahali panapofanyika mikataba ya kuhujum madini,ges,ardhi, wanyama wa polini nk..ccm inabaka demmokrasia, polisi imeruhusiwa kutupiga tu....Baba yetu, watanzania hatupo kama vile ulivotuacha, ila tutajikomboa hivi karibuni...chama chako kitapumzika, likitimia hili, usitulaum watanzania, utupongeze kwa kurejesha heshima ya ikulu yetu.....
Mimi naamini mtu akifa huwa anageuka mti au kiumbe hai chochote...hilo la pema peponi ni theories tu....Wee endelea kusubiri zamu yako ya kwenda mahali pema peponi ikifika, unaweza ukakutana naye!!
I was just topping up that cup.Not only that, there is a cup of sins ccm has committed to the public
View attachment 111482
Ipe maneno picha hii!!Tambua hao ni akina nani??
che nkapa hapo nahisi lile chain la gold hakuwa nalo
Mercedes Benz zime pack kwa Nyuma zinawasubiri Wana Ujamaa na kujitegemea!!
![]()
Wa kwanza Kushoto ni Marehemu Habib Harahara aliyekuwa Mwandishi wa habari wa Raisi R.I.P Wapili simfahamu ila Wa Tatu hapo ni Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.. Wa Nne naye Simfahamu na Wa Tano ni Raisi Mstaafu Benjamin William Mkapa...
Nakumbuka Habib(RIP) aliuawa na panga la helikopta.