Julius Malema anaongoza maandamano kuunga mkono ushoga na usagaji na kumpinga Rais Museveni



Halafu Mungu akiwakataa wanalalamika
Malema ajue akiwa yeye shoga asitake iwe halali kwa kila mtu. Wa hovyo sana
 
Eti nimemvua, wewe kama nani? Elimu yako itakuwa ndogo na umetawaliwa na uamini wa dini
 
Na huku tunataka kufanya kama Mseveni!! Malizia deni la pango la nyumba uondoke
 
Kama ni kweli nimemvua nyota zote huyu mshikaji.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app

Mashoga na wasagaji ni constituency kubwa huko Africa ya Kusini hivyo hawa wanasiasa wanajaribu kuwa karibu nao ili wasikose kura zao wakati wa uchaguzi!!
Hivyo hivyo huko marekani ,hawa mashoga wako wengi sana kiasi kwamba wanaweza kusababisha chama kushinda au kushindwa uchaguzi!! Nakumbuka wakati wa uchaguzi kule Marekani Baraka Obama kwanza alikuwa hawakubali hawa mashoga lakini ilibidi awakubali baada ya Biden kugundua kwamba wasingewakubali wangepoteza kura zao!
Hivyo kwa wanasiasa hasa kwenye nchi zenye mchanganyiko wa races ni lazima waangalie impact ya hawa waliokengeuka kwenye chaguzi zao!!
Sisi tubaki na utamaduni wetu wa mwanaume kuwa mwanaume na mwanamke abaki kua mwnamke basi!
 
Huyu ni mwenzenu wana chadema huyu ni kioo cha wa na demokrasia duniani uhuru wa mashoga ,hii ajenda kwa wanademokrasia sio kosa labda wewe kichwa maji kama hujui


USSR
mashoga mmeachwa baada ya makamu wa mashoga kuwatembelea ikulu jitokezeni tuwasukumie moto moshoga nyinyi na ccm yenu.
 
Kumbe naye msenghe,,!
 
Mwamba wa PUTIN
 

Attachments

  • Screenshot_20230406-191746.png
    105.2 KB · Views: 2
NI HAYATI JPM TU NDO ALIKUWA MTETEZI WA WANYONGE. ALIJITOA KAFARA KWA AJILI YA NCHI YAKE!
 
Achana nayo mkuu...

Pigania Familia yako mkuu..
 

Attachments

  • images (12).jpeg
    37 KB · Views: 2
  • images.jpeg
    38.5 KB · Views: 2
Naogopa sana kasi ya shetani duniani kwa sasa
Hivi kweli wanamaanisha au Mimi ndo sielewi wanachotetea
 
Mambo ya haki ni ya kisenge so mtu anataka apewe haki ya kupigwa p*umbu. Aisee dume unataka upigwe miti kweli?????????? Anyway Kila mtu ana haki zake coz hata mm ukinilazimisha nisinywe bia wakati mi napenda LAZIMA NIRUKE NA WEWE
 
Huyu ni mwenzenu wana chadema huyu ni kioo cha wa na demokrasia duniani uhuru wa mashoga ,hii ajenda kwa wanademokrasia sio kosa labda wewe kichwa maji kama hujui


USSR
Unapenda hizi mada wewe ni memba wa upinde....
 
Labda kwa vile katukana watu anajifanya chizi ili asiende ndani.
Pilipili iliyoko shambani inamuwasha vipi? Mambo ya Uganda yanamhusu nini?
 
Halafu Mungu akiwakataa wanalalamika
Malema ajue akiwa yeye shoga asitake iwe halali kwa kila mtu. Wa hovyo sana
Jamani tuongee yote lakini tutambue kuwa hii ni vita Kali Sana Tena vita ya uchumi, kuhusu malema ni kwamba ,, "he who feeds you controls you". Thomas Isdore Sankara ✍️✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…