Julius Nyerere Mtume wa Afrika 1950s - Julius Nyerere Mtakatifu Mwenye Kheri 2000s


Mtakatifu wako anakunywa gongo

 
Let say aliharibu hao wote waliokuja wamerekebisha wapi?

Huwezi ukapanda mchungwa ukala mananasi wala huwezi kupanda mnazi ukachuma mapapai.

Mti alioupanda Nyerere ni mchongoma utategemea uvune apples ??
 
Msomi huwa hajisifii.Kujisifia ni kutaka kukimbia kivuli chako.Wewe na huyo unayejilinganisha naye kwa usomi ni watu dhalili sana.Mnaotafuta huruma kwa mlango wa din.Huo umuhimu na usomi mnaotaka kujipa huna mzee.
Weka Cv
 
Msomi huwa hajisifii.Kujisifia ni kutaka kukimbia kivuli chako.Wewe na huyo unayejilinganisha naye kwa usomi ni watu dhalili sana.Mnaotafuta huruma kwa mlango wa din.Huo umuhimu na usomi mnaotaka kujipa huna mzee.
Weka Cv
Bozo !
CV yangu sio ya ajira portal
Kama unataka ligi, tunaweza kuanza na fani yangu ni uhandisi na sayansi
Uko tayari ?
 
Baadhi ya mabaya au ubovu wa Mwl. Nyerere:-
1. Kuiga, Kuanzisha na kuendeleza Sera na Itikadi Mbaya kabisa ya Siasa za Ukomunisti/Ujamaa hapa Tanzania.

Huu ndio ulikuwa mwanzo wa Kujenga Msingi mbovu wa Taifa la hovyo kabisa lililopo hivi sasa.
Itikadi na Sera ya Ukomunisti/Ujamaa ikaja kushindwa vibaya Sana huku yeye mwenyewe akishuhudia kwa macho yake kushindwa kwa itikadi yake aliyoileta hapa Tanzania kutoka kwa marafiki zake wa China, Urusi na Cuba.

2. Kutengeneza Taifa la Watu waoga, Wanyonge, dhaifu wa fikra wasiojitambua na Wala wasioweza kuhoji. Taifa la watu 'misukule'.

3. Kutengeneza au kuunda nchi isiyokuwa na Mipango-miji, hususani kupitia kwenye Sera yake mbaya kabisa ya ujamaa/Ukomunisti. Sera au Itikadi hiyo ya Ujamaa/Ukomunisti ndio ilikuwa chanzo Cha Kuanzishwa kwa Azimio la Arusha na Operesheni Vijiji, the Worse Operation that completely destroyed the Country and Town Planning process within the Country.
Arusha Declaration and Operation Vijiji also led to the Death of Real Estate Industry and its development.

Kupitia Itikadi hiyo ya Ujamaa/Ukomunisti, Azimio la Arusha na Operesheni Vijiji, Watu wengi sana walinyang'anywa Ardhi zao pamoja na majumba yao waliyokuwa wakimiliki. Nyumba nyingi sana za Watu zilitaifishwa, Leo hii nyumba hizo zinamilikiwa na Shirika la Nyumba (NHC).

4. Kutuletea Katiba ya nchi ambayo ni mbaya kabisa, isiyofaa na ambayo imesababisha na inaendelea kusababisha madhara makubwa sana kwa Raia. Katiba mbaya ambayo imewatengeneza Watawala wa nchi hii kuwa 'Miungu Watu.'
 
Ni uhuru wako wa kujieleza tu ambao umeutumia hapa. Ila kwa taarifa yako hizo hizo hoja zako ulizoziweka zina mazuri mengi sana kuliko mapungufu.
1. Vijiji vya ujamaa viliwaweka watu sehemu moja ili iwe rahisi kuwapa huduma za jamii kama shule, zahanati, maji na umeme

2. Taifa la watu waoga halikutengenezwa na Nyerere bali ndiyo asili ya Waranzania. Sasa hivi 70% ya raia wa Tanzania wamezaliwa baada ya 1985 wakati Mwinyi ni Rais. Je Nyerere anahusikaje kuwafanya watu wawe waoga?

3. Nyumba zilizotaifishwa kwa 90% zilikuwa za Watanzania wenye asili ya Asia ma zikaundiwa Shirika la umma la NHC kuzisimamia. NHC inatoa ajira, inalipa kodi za Serikali na watu wanaishi kwenye nyumba hizo na zingine zinajengwa. Tatizo liko wapi ndugu lankutaifisha nyumba? Kwani baba yako alikuwa na nyumba ikataifishwa? Iko wapi?

4. Katiba ni Katiba tu cha muhimu ni kuiheshimu. Unaweza kuwa na Katiba nzuri na usiiheshimu. Mbkna yeye Nyerere alitumia katiba hiyohiyo nanhakuingilia mihimili mingine!!


Mwishowe nakushauri acha kushinda vijiweni na kusikiliza hadithi za walioshindwa maisha. Nenda kachape kazi dogo upate hela.
 
Mzee Said
Naomba unielekeze hiki kitabu nakipata wapi
 
Leo asubuhi my sweet Faiza kamnanga Baba wa Taifa
 
Ashapuuzwa sasa hata aandike nini watu hawasomi
Babu...
Post hii imesomwa na watu 3K.
Na wewe ni mmojawapo.

Video zangu zinaangaliwa na watu kufikia 80K and counting.

Unasema napuuzwa ilhali JF nimechaguliwa Mwandishi Bora mara mbili mfululizo?

Nina tuzo tano jumla katika uandishi.

Unaweza kuthibitisha yote haya ukipenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…