Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Anunue au anunuliwe yote sawa tu.Lumumba wewe unasema Lowassa amenunulika na CHADEMA,
Lumumba wenzio wanasema Lowassa ameinunua CHADEMA,
Yaani hamjui hata msimamie uongo upi hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anunue au anunuliwe yote sawa tu.Lumumba wewe unasema Lowassa amenunulika na CHADEMA,
Lumumba wenzio wanasema Lowassa ameinunua CHADEMA,
Yaani hamjui hata msimamie uongo upi hapo.
Tunao wanasiasa leo hii, malaya malaya. Tunawajua. Wananunulika wanahama chama kwa pesa. Malaya malaya hawa.
Wapo, naweza kuwaweka hapa chini, wapumbavu hawa, wendawazimu. Malaya watupu hawa.
We unasafiria nyota ya mwl wakati ushajipaka uchafu hatutasahau kamwe kauli yako juu ya Ben sananeHiki ni kweli kabisa na ndicho kinachotokea.
Mwalimu Nyerere alitumia lugha Kali ya kuwaita Malaya, mimi nimetumia lugha nyepesi kuwaita wajinga badala ya malaya, na kitendo cha kuhama vyama nimekiita ujinga badala ya umalaya
Kinondoni na Siha, tusikubali ujinga huu! hata Mwl. Nyerere alikataa ujinga wa CCM, 1995 akachagua upinzani! - JamiiForums
Sheria ya Uchaguzi Ni Bad Law!, Kuendelea Kuitumia ni Ujinga?, Kuwabebesha Masikini Gharama za Uchaguzi ni Dhambi!. - JamiiForums
P.
Mm nnachojiuliza, kama mbunge ananunuliwa, diwani ananunuliwia je wakala Wa usmamizi atashndikana vip kununuliwa???Wanasiasa wakitanzania, hawatoshi kwenye hizi zama. Wajukuu zetu watatucheka kwa kuweka viongozi madarakani wanaovunja haki za binadamu kiasi hichi.Ningekuwa na uwezo upigaji kura ungepigwa kwa wapiga kura kusimama kwenye majina ya wagombea kukwepa kuongozwa na wasiofaa, kwa sababu ya mfumo mbovu wa tume ya uchaguzi
Ukinikumbusha nilisema nini kuhusu Ben Saanane nitakushukuru.We unasafiria nyota ya mwl wakati ushajipaka uchafu hatutasahau kamwe kauli yako juu ya Ben sanane
Hata were ni mwandishi mercenary mly unaangalia pesa cheo na madaraka
Hahahahaaaaaaa,nadhani imekupenya barabara!Hebu tutajie wote maana umesema hao ni baadhi tuLowasa, Sumaye na Nyalandu ni miongoni mwa wanasiasa wa aina hiyo. Wamenunulika na chadema.
Nazani hapo inafanana sana na wanasiasa malaya waliotoka ccm kwenda kutafuta madaraka cdm.
Maovu ya Nyerere andika uzi wako,hapa tunawazungumzia malaya malaya!Ni kweli kabisa,
Ama sivyo tujiulize, jee mwanasiasa ana haki ya kuhama chama? Jee ni sababu gani zinaweza kumpa uhalali wa kuhama?
Nyerere katika speech hiyo alikuwa anawasema wanasiasa waliokuwa wanampinga kisiasa hasa kuhusu, siasa ya ujamaa isiyokuwa NA mpango maalumu, kuwahamisha wananchi kutoka vijijini kwao NA kuwabwaga pahali ambapo hapakuwa NA matayarisho yoyote (pori), Juma waliliwa NA simba. NA ilikuwa ukimpinga anakufunga jela bila ya kupelekwa mahakamani.
Nyerere alikuwa NA maovu yake
"Tutajie" wewe nani kwani?Hahahahaaaaaaa,nadhani imekupenya barabara!Hebu tutajie wote maana umesema hao ni baadhi tu
Ni kweli.Nadhani Nyalandu alilipwa mabilioni ya shilingi.Ila nashangaa kwa nini hakugombea tena ubunge?Nazani hapo inafanana sana na wanasiasa malaya waliotoka ccm kwenda kutafuta madaraka cdm.
Mungu amrehemu huko aliko mzee huyu pamoja na mapungufu yake lakini nia yake kwa Tanzania ilikuwa njema hajatokea kiongozi wa kumfananisha nae.Mwl huko uliko malaya hawa wanaifilisi nchi hawana bei.
Mnunuzi wa malaya naye anaitwaje?"Tutajie" wewe nani kwani?