Julius Nyerere: Tunao wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya, heshima yao inauzwa na ina bei (mercenary)

Julius Nyerere: Tunao wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya, heshima yao inauzwa na ina bei (mercenary)

Tunao wanasiasa leo hii, malaya malaya. Tunawajua. Wananunulika wanahama chama kwa pesa. Malaya malaya hawa.

Wapo, naweza kuwaweka hapa chini, wapumbavu hawa, wendawazimu. Malaya watupu hawa.

Ni kweli kabisa,

Ama sivyo tujiulize, jee mwanasiasa ana haki ya kuhama chama? Jee ni sababu gani zinaweza kumpa uhalali wa kuhama?

Nyerere katika speech hiyo alikuwa anawasema wanasiasa waliokuwa wanampinga kisiasa hasa kuhusu, siasa ya ujamaa isiyokuwa NA mpango maalumu, kuwahamisha wananchi kutoka vijijini kwao NA kuwabwaga pahali ambapo hapakuwa NA matayarisho yoyote (pori), Juma waliliwa NA simba. NA ilikuwa ukimpinga anakufunga jela bila ya kupelekwa mahakamani.

Nyerere alikuwa NA maovu yake
 
Hivi ccm wanajisikiaje wakisikia hotuba ya mwalimu juu ya Malaya wa kisiasa au askari wa kulipwa mercenaries
Naomba wanaccm mje mtuambie ile hotuba mnaitafsirije?

Naomba mwenye namba ya waitara na wasaliti wote walionunulika watumiwe hotuba ile ya mwalimu kupitia wasap
 
Hiki ni kweli kabisa na ndicho kinachotokea.
Mwalimu Nyerere alitumia lugha Kali ya kuwaita Malaya, mimi nimetumia lugha nyepesi kuwaita wajinga badala ya malaya, na kitendo cha kuhama vyama nimekiita ujinga badala ya umalaya
Kinondoni na Siha, tusikubali ujinga huu! hata Mwl. Nyerere alikataa ujinga wa CCM, 1995 akachagua upinzani! - JamiiForums

Sheria ya Uchaguzi Ni Bad Law!, Kuendelea Kuitumia ni Ujinga?, Kuwabebesha Masikini Gharama za Uchaguzi ni Dhambi!. - JamiiForums
P.
We unasafiria nyota ya mwl wakati ushajipaka uchafu hatutasahau kamwe kauli yako juu ya Ben sanane

Hata were ni mwandishi mercenary unaangalia pesa cheo na madaraka
 
La kuvunda halina ubani. Wao wanaona poa tu ili mradi mkono unakwenda kinywani hayo mengine mtajaza wenyewe. Kasema Dr Bashiru utakuwa NYerere na amekwisha kufa?
 
Wanasiasa wakitanzania, hawatoshi kwenye hizi zama. Wajukuu zetu watatucheka kwa kuweka viongozi madarakani wanaovunja haki za binadamu kiasi hichi.Ningekuwa na uwezo upigaji kura ungepigwa kwa wapiga kura kusimama kwenye majina ya wagombea kukwepa kuongozwa na wasiofaa, kwa sababu ya mfumo mbovu wa tume ya uchaguzi
 
Mm nnachojiuliza, kama mbunge ananunuliwa, diwani ananunuliwia je wakala Wa usmamizi atashndikana vip kununuliwa???
 
We unasafiria nyota ya mwl wakati ushajipaka uchafu hatutasahau kamwe kauli yako juu ya Ben sanane

Hata were ni mwandishi mercenary mly unaangalia pesa cheo na madaraka
Ukinikumbusha nilisema nini kuhusu Ben Saanane nitakushukuru.

Kwenye kundi la waandishi macenaries mimi sipo, bali mimi ni mwandishi mzalendo ninayefanya kazi ya uandishi kwa kujitolea na kutanguliza mbele maslahi ya taifa japo pia ninasupport zile bahasha zetu za halali
Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni Rushwa - Pasco wa JF! - JamiiForums
P
 
Ni kweli kabisa,
Ama sivyo tujiulize, jee mwanasiasa ana haki ya kuhama chama? Jee ni sababu gani zinaweza kumpa uhalali wa kuhama?

Nyerere katika speech hiyo alikuwa anawasema wanasiasa waliokuwa wanampinga kisiasa hasa kuhusu, siasa ya ujamaa isiyokuwa NA mpango maalumu, kuwahamisha wananchi kutoka vijijini kwao NA kuwabwaga pahali ambapo hapakuwa NA matayarisho yoyote (pori), Juma waliliwa NA simba. NA ilikuwa ukimpinga anakufunga jela bila ya kupelekwa mahakamani.

Nyerere alikuwa NA maovu yake
Maovu ya Nyerere andika uzi wako,hapa tunawazungumzia malaya malaya!
Tunakoelekea,siku ya kifo cha Nyerere haitakuwa ya kitaifa!!!
Haya makaburi yanafanya wanalumumba wamtukane Nyerere!
 
Nazani hapo inafanana sana na wanasiasa malaya waliotoka ccm kwenda kutafuta madaraka cdm.
Ni kweli.Nadhani Nyalandu alilipwa mabilioni ya shilingi.Ila nashangaa kwa nini hakugombea tena ubunge?
 
Daima falsafa na mitazamo ya watu mbalimbal kuhusu jamii na mfumo wake wa maisha hutusaidia sana sisi tunaoishi leo kuelewa uhalisia wa falsafa zao so wazee hawa wamekuwa wakiishi nasi pamoja japo kimwili hatupo nao so mawazo ya mtu huishi ila nmekuwa namwelewa sana mzee Nyerere kwa mawazo na mitazamo yake kwani imekuwa kioo kwa viongoz pamoja na sisi RAIA kwan aliona mbali sana .Hakika walio wema hawadumu.....
 
Back
Top Bottom