Ni kweli nimekuwa mwandishi kwa miaka 30, sasa ni msataafu ila naendelea kuandika bure na kuandaa vipindi bure, kwasababu ni kitu kiko kwenye damu, naendelea kufanya uandishi na utangazaji kwa kujitolea.Naona uko vizuri kuliko hata watumishi wa Mungu wanaoishi kwa kutegemea sadaka.
NimekupataKama ni kusemwa mapandikizi, wengi pia tunaamini wanasiasa waliwahi kushika nyadhifa kubwa serikalini ni mapindikizi kwa sababu tunaamini "once a system always a system" walikula viapo hatujawaona wakifuta viapo vyao, kama kuna uwezekano huo wa kufuta kiapo, sijawahi kusikia.
Naamini OMO alikuwa ni mwanasheria mkuu wa Zanzibar
Kwa hivyo ndio kusema OMO ndio hao, kiukweli kabisa kwangu mimi hili ni jema, OMO akisimama 2025 akishinda anapewa, ili kumsitiri na aibu ya kushindwa, nimeshauri Dr. Mwinyi aje huku kumpokea Mama ile 2025 hivyo kule OMO apewe. Ushauri huo nimeutoa hapa Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke nimeshauriNaamini; "Once a system always a system".
PWanabodi
Hivyo namshauri Mama aendelee na maadalizi ya 2025 kwa kujiandaa yeye kama yeye, lakini pia afanye na maandalizi ya kuisubiria hiyo sauti ya uthibitisho kuwa 2025 yeye Rais Samia ndiye aliyepangiwa na YEYE, kama ni yeye ndiye aliyepangiwa na YEYE, then 2025 ni yeye Samia.
Lakini kama ataisikia hii sauti, sio vibaya kama atajiandaa na kumuandaa mtu wa kumpokea, kwa maoni yangu, Dr. Hussein Mwinyi atatufaa sana, hivyo namuomba Rais Samia akiisikia sauti, amuombe Dr. Hussein Mwinyi, kwa uchaguzi wa urais wa 2025 aje kugombea urais wa JMT, kuimalizia awamu yake ya pili ya Mama Samia kwa yeye kukubali kuwa rais wa JMT kwa awamu moja tuu.
Hivyo hata sauti hii niliyoisikia leo, 2022, kuhusu 2025, usikute hata Mama Samia mwenyewe bado hajui kuwa 2025 sii yeye kwasababu yeye bado hajaelezwa na YEYE kuwa sio yeye, na ndio sababu ni Rais Samia ndiye aliyependekeza 2025 twende na mgombea Mwanamke kumaanisha ni yeye!.
Unaweza kuta aliyepangiwa na YEYE kuwa rais wetu 2025 ni Mama Samia mwenyew, baada ya kuingia by default kuwa rais wa JMT kwa awamu hii ya kwanza, sasa anajipanga kuendelea awamu ya pili, properly kwa kuchaguliwa na kura za Watanzania, ila kugombea kwake ni kupitia ule mserereko wa CCM , huku Dr. Mwinyi akiji set for his second term in Zanzibar kwa mserereko wa CCM na wala hajui kuwa kuna sauti inamtaka yeye ndiye aje awe rais wa JMT, 2025!, hivyo maono kama haya, yanasaidia sana kuwaandaa watu kisaikolojia!.
Hili la Mwinyi kuja huku, sio la sauti, hili ni langu tuu, maana usikute pia ni mpango ya YEYE, kumfanya huyu jamaa Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii maana
wakati nikiandika hayo, Dr. Shein alikuwa hajui, hivyo hata saa hizi ninapoandika hapa, usikute huyu jamaa wala hajajijua kuwa yeye ndiye anapaswa aje awe rais ajaye wa Zanzibar!. Hii nikufuatia dhulma kubwa iliyokuwa ikifanyika Zanzibar kwa miaka na miaka, Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda lakini sasa kwavile Samia ni mpenda haki, msema haki na mtenda haki, for the first time in Zanzibar tangu baada ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya January 12, 1964, uchaguzi wa 2025 unaweza kuwatendea haki!.
Ni vizuri kujitolea japo ni vizuri zaidi kupata malipo ambayo ungewapa si pesa taslimu wenye mahitaji waliopo kwenye kambi za wazee na watoto, nakazia si pesa taslimu.Ni kweli nimekuwa mwandishi kwa miaka 30, sasa ni msataafu ila naendelea kuandika bure na kuandaa vipindi bure, kwasababu ni kitu kiko kwenye damu, naendelea kufanya uandishi na utangazaji kwa kujitolea.
P
Najitolea kwasababu wahusika hawana mpango huo wa kuandaa vipindiNi vizuri kujitolea japo ni vizuri zaidi kupata malipo ambayo ungewapa si pesa taslimu wenye mahitaji waliopo kwenye kambi za wazee na watoto, nakazia si pesa taslimu.
Mkuu Buji, Bujibuji Simba Nyamaume , wengi humu hawamjui Babu Duni, huyu sio mtu wa kulishwa maneno na kuyatapika!. Wanasiasa spoon fed ni wale waliokubali kupiga magoti kujinyenyekeza kuomba na wao wakae mezani kwenye chakula na kumegewa mkate hivyo wakakubali nusu mkate!. Niliwaeleza watu humu, hakuna mkate mgumu mbele ya chai!, mkate hata uwe mgumu vipi, mbele ya chai lazima utalainika!. Kivumbi ni pale ulipokubali kumegewa mkate ukapokea mgao, ukafufuka, ukaanza kujitutumua na kufurukuta kwa kubeza , lugha zisizo za staha, na sometimes matukano!, huo ni ukosefu wa fadhila na ukosefu wa shukrani, karma pia huwashughulikia wakosefu wa shukrani. Siasa za Kijungu Jiko, Penye Uzia, Penyeza Rupia!. Hakuna Mkate Mgumu Mbele ya Chai!, Hata Uwe Mgumu Vipi, Mbele ya Chai/Rupia, Lazima Utalainika!Pascal Mayalla, unaayaamini maneno ya mwenyekiti wa ACT Wazalendo aliyoyapokea kutoka kwa mwenyewe wa Chama Cha Mafisadi?
Not necessarily!, ukiomba kingi, au kikubwa, ukikosa, ukanyimwa, lakini ukapewa kidogo, kuwa ni mtu wa shukrani kwa kidogo hicho ili upatiwe kikubwa!.Kubadili sheria ni jambo moja lkn kama katiba itabakia kuwa hii hii inayomfanya rais kuwa Mungu mtu hakutakuwa na jipya.
Naunga mkono hoja hata mimi niliwahi kushauri humu Je, Bunge letu linaendeshwa kikada? Ili tuwe na Bunge la haki, lenye uwezo wa kuisimamia Serikali Kikamilifu, kuna haja Spika asitokane na vyama?Katiba mpya iandikwe ili rais apunguziwe madaraka. Asiteue kila kiongozi nchi hii na asiwe bosi wa kila mtu.
Nakuelewa sana and that is what it's purported to be kuwa rais yuko juu ya katiba!. Hakuna aliye juu ya katiba, ila ni kweli kwa Tanzania, rais wetu yuko juu ya katiba!, anaivunja bila kuulizwa chochote na yeyote!, anapotokea mwandishi wa habari brave and fearless kuuliza rais wetu ametumia mamlaka gani?, anajibiwa maana ya jina lake!.Sheria nyingi zinavunjwa kwasabb rais yuko juu ya katiba hivyo anaweza kuparaganya kupitia wateule wake na asifanywe kitu huyo mteule kwasbb katumwa na rais aliye juu ya katiba.
Sijui mnanielewa??
Kwenye mgao wa nusu mkate, wa 2025, Mwami yumo!.Wakiamua kushusha tanga mwami akavue dagaa tu
Ni kweli kama ilivyo kwenye voting zetu, the determinate of victory is not the votes casted but the votes counted!, hivyo mwamuzi wa chaguzi zetu sio mpiga kura bali ni mwesabu kura!.Kubadili sheria ni kitu kingine na utekelezaji ni kitu ingine kbs!!
Being strategic ni pamoja na kuzijua strong holds zako, ACT Wazalendo kabla ya ku merge, strong hold yake ilikuwa Kigoma, baada ya ku merge na CUF, strong hold yake ikawa Zanzibar na Pemba, chama chanye chance Mbeya ni Chadema, kingemteua mgombea strong halafu Sugu, Lissu, Heche, Mnowe, MNyika, Msigwa, CCM wangepenyea wapi?.ACT wako very strategic ila hawana mvuto kwa watu. Ukitaka kujua nenda kaangalie uchaguzi mdogo wa Mbarali, CDM hawashiriki uchaguzi wote umekosa mvuto. Hizo strategic za ACT ndio zilitakiwa impact yake ionekane kwenye chaguzi hizi.
Jifunze kitu kinachoitwa the politics of engagement and pragmatism!. Mwalimu wa somo hilo ni huyu Face 2 Face with Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo: "Tunafanya Politics of Engagement kwa kuwa Pragmatic on What is Possible"Hizo strategic za kujipendekeza kwenye mikutano ya kupotezeana muda, ndio hao wanaoandaa hiyo mikutano wanafika na kuwaambia katiba haileti maendeleo.
Huez jiwekea mtego ili uje ukutege!!Ni kweli kama ilivyo kwenye voting zetu, the determinate of victory is not the votes casted but the votes counted!, hivyo mwamuzi wa chaguzi zetu sio mpiga kura bali ni mwesabu kura!.
Kitu muhimu hapa ni the Political will, kwa jinsi ninavyo muona Rais Samia, ana dhamira ya kweli, tunataka tuione dhamira hiyo 2025!. Asante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito!
P
Mkuu Nguruvi3 , kwanza niheshimu mtazamo wako, ila sii kweli wamehujumu bali wametumia different approach due to different perspectives, kwenye siasa za pragmatism, you concentrate on what is possible only. Chadema waliishatoa msimamo kuwa bila katiba mpya hawaingii kwenye uchaguzi!, na wakagomea mazungumzo yoyote kama sio kuhusu katiba mpya!. Sisi washauri wa bure tukashauri Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!. wakatiliwa ndoana kwenye chambo, wakaingia wazima wazima mazima, wakakubali maridhiano na kukaa mezani, wakalambishwa asali, wakakubali kugawana nusu mkate, ila pia wakataka kuchonga malinga!, mapendekezo yao ya katiba mpya yote yakakataliwa!. Kwa watu pragmatic wanajua muda uliobaki kabla ya June 30, 2025 Bunge linapovunjwa ni less than 2 years!, huwezi kupata katiba mpya mzuri ndani ya muda huo, ila unaweza kufanya mabadiliko ya katiba and that is what is possible!. Mapendekezo yamekataliwa unasusa na kwenda kuwashitaki kwa wananchi, two years ahead of election kwa kutegemea buyu la asali ulilolambishwa na huyo unayemsusia!. Watanzania ni wapesi kukasirika na wapesi kusahau!, kufikia 2025 buyu la asali limekauka, Bandari inatema, SGR inasongesha, umeme wa JNHPP uko kwenye gridi, mradi wa LNG umeanza, bomba la mafuta on progress, Watanzania wafundishwa civic education kuvikataa vyama vikaragosi!, kuna mtu ataikumbuka Chadema?. Halafu afadhali mtu msemaovyo na anayegomba kama Magufuli, akitibuka analipuka, ogopa sana mtu mkimya dizain ya Putin!, kuna kitu nilitaka kukisema hapa Mama, I'm here to support you, to serve our country. I'm here sio tu kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu, bali pia kuutumia. But... lakini sikukisema!.Kwa suala la katiba mpya tuwe wakweli tu, kwamba Zitto na ACT Wazanzibar wamehujumu sana jitihada.
Sii kweli Tume huru ya uchaguzi ni upuuzi mtupu!, ila upuuzi mtupu ni kuteua majitu majinga toka chama chao kuingia kwenye tume bila kujua wajibu wao!. CUF walikuwa hawana lolote wala sio chochote mule ni majitu majinga ajabu!. Angalia bandiko hili ni la lini Kifo cha CUF hichoo... chaja! Upinzani kubaki CHADEMA pekee?. Wajumbe wa CUF ndani ya ZEC ni sifuri kabisa!, empty shells!. Sheria ya uchaguzi Zanzibar na huku bara imesema wazi kabisa maamuzi yatafikiwa kwa consensus, Mwenyekiti hapigi kura, yeye ana kura ya Mwenyekiti iwapo kura zitalingana. Sasa walimwachaje Jecha ajigeuze ZEC?. What did they do?!. CUF ina wanasheria manguli wabobezi na wabobevu, what did they do?!. Niliwauliza humu, Zanzibar Issue: Kwanini watu wanapiga kelele tu bila kuchukua hatua zozoteTume huru ya uchaguzi ni upuuzi wa hali ya juu. Zitto na Duni si wanajua Zanzibar kulikuwa na tume huru ikiwa na 50/50 ya wajumbe CCM/CUF. Jecha kama mpini wa Dola aliwapiga chini CUF
Usalama wao wana deal na usalama wa nchi, ila pia hawa jamaa zetu wa sasa wengi ni empty shells tuu mule!, mimi ni product ya wazazi wangu wote wawili walikuwa watu wa kule, nimekuja kujua niko darasa la 5, tena kwa kusoma gazetini gazeti la Mzalendo, ile kesi ya mauaji Mwanza ndio kujua!. Hawa jamaa niliwahi kuwazungumza humu, TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!Huwezi kuwa na tume huru wakati sheria kama ya usalama imebadilishwa na kutoa mkono wa chuma.
Kama ni katiba mpya tuu as kitabu kipya cha katiba, hata mimi tuu mwenyewe nakuandikia katiba na kwenda kukuprintia kwenye the best printer in Tanzania, Jamana, nakutolea katiba mpya within 7 days, ila itakuwa ni a constitution book without constitutionality!. Ili kupata katiba bora ambayo ni a constitution with the constitutionality sio bora katiba, it's a process yenye kupitia hatua mbalimbali mwaka mmoja hautoshi hata kwa dawa! Mchakato huu wa Katiba ni umasikini wetu. Tujikubali, tuukubali, tuupigie kura ya ndio hata hivyo hilo la kufanya mabadiliko ya katiba, Mama tumemshauri Hongera Sana Rais Samia kwa Miaka Miwili Madarakani. Japo Umefanya Mengi, Makubwa, Mazuri, Lakini Bado! Linalowezekana Leo, Lisingoje Kesho!Kwa nguvu za ACT Wazanzibar kama wasingeshirikiana na CCM Katiba mpya ingepatikana hata December.
Mkuu just a quick question, mama watoto alikua concerned na interview zako you always use one hand. Alitaka kufahamu kama ulipata ajali ya mkono au ni mazoea tu.Wanabodi
No it's not offensive, its a fact, nina mkono mmoja!. Pascal Mayalla apata ajali.....Mkuu just a quick question, mama watoto alikua concerned na interview zako you always use one hand. Alitaka kufahamu kama ulipata ajali ya mkono au ni mazoea tu.
Just curious and samahani if it's offensive.
Oooh pole sana mkuu, nimekumbuka ule Uzi basi tulivyosikia umetoka salama hatukufuatilia repurcussions.No it's not offensive, its a fact, nina mkono mmoja!. Pascal Mayalla apata ajali.....
Nilipata tatizo linaloitwa brachial plexus injury. Baada ya mwaka mmoja nilipona na kurejea kwenye mic, pia nilitoa shukrani zangu humu JF Waraka wa Pascal Mayalla - Asanteni Sana!
P
Kitu kitu muhimu kuliko kitu chochote kwa taifa lolote ni watu wake, na uhai wao, kitu kikubwa kuliko kitu kingine chochote ni katiba yao na , na hitaji kubwa kuliko hitaji lolote ni haki na usawa.Pascal Mayalla
Wapi Wazanzibar wanadhulumiwa? Hebu tujadiliane hapa maana kuna matatizo halafu kuna upotoshaji
Thanks.Oooh pole sana mkuu, nimekumbuka ule Uzi basi tulivyosikia umetoka salama hatukufuatilia repurcussions.
It could have been worse ila Mungu alikuokoa uendelee kuisaidia jamii. Wish you more life and steady health
Hii siyo pragmatism ni 'a glass half full' jambo la hatari sana.Mkuu Nguruvi3 , kwanza niheshimu mtazamo wako, ila sii kweli wamehujumu bali wametumia different approach due to different perspectives, kwenye siasa za pragmatism, you concentrate on what is possible only.
Hapa kuna nusu ukweli na nusu si ukweli.Chadema waliishatoa msimamo kuwa bila katiba mpya hawaingii kwenye uchaguzi!, na wakagomea mazungumzo yoyote kama sio kuhusu katiba mpya!. Sisi washauri wa bure tukashauri Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!. wakatiliwa ndoana kwenye chambo, wakaingia wazima wazima mazima, wakakubali maridhiano na kukaa mezani, wakalambishwa asali, wakakubali kugawana nusu mkate, ila pia wakataka kuchonga malinga!, mapendekezo yao ya katiba mpya yote yakakataliwa!. Kwa watu pragmatic wanajua muda uliobaki kabla ya June 30, 2025 Bunge linapovunjwa ni less than 2 years!, huwezi kupata katiba mpya mzuri ndani ya muda huo, ila unaweza kufanya mabadiliko ya katiba and that is what is possible!. Mapendekezo yamekataliwa unasusa na kwenda kuwashitaki kwa wananchi, two years ahead of election kwa kutegemea buyu la asali ulilolambishwa na huyo unayemsusia!.
Muda upo kwa bahati mbaya kuna nia mbaya ya kupata katibaKama ni katiba mpya tuu as kitabu kipya cha katiba, hata mimi tuu mwenyewe nakuandikia katiba na kwenda kukuprintia kwenye the best printer in Tanzania, Jamana, nakutolea katiba mpya within 7 days, ila itakuwa ni a constitution book without constitutionality!. Ili kupata katiba bora ambayo ni a constitution with the constitutionality sio bora katiba, it's a process yenye kupitia hatua mbalimbali mwaka mmoja hautoshi hata kwa dawa! Mchakato huu wa Katiba ni umasikini wetu. Tujikubali, tuukubali, tuupigie kura ya ndio hata hivyo hilo la kufanya mabadiliko ya katiba, Mama tumemshauri Hongera Sana Rais Samia kwa Miaka Miwili Madarakani. Japo Umefanya Mengi, Makubwa, Mazuri, Lakini Bado! Linalowezekana Leo, Lisingoje Kesho!
P