Juma Jux kanunua helikopta. Hii vita ya Juma Jux, Diamond Platnumz haiwezi

Umri wa Jay Z umeenda mtu anavyo grow kuna vitu automatically anaviacha. Ni wachache wanaoendelea na mambo waliokuwa wanafanya wakiwa vijana kama Snoop.
Diamond itafika muda na yeye hayo mambo ataacha ila kwa sasa umri wake unamruhusu kufanya hivyo. Zile show off zake zinahitaji pesa aisee bila pesa huwezi kufanya hizo show off hata kidogo.
Mkuu mbona kuwekeza kawekeza, redio na TV station ni uwekezaji mzuri ataendelea kula matangazo tu.
 
Jux atafute size yake mond kamuacha sana. Wasanii wadogo wasiojiamini wengi wanasafiria nyota ya mond kwa sasa. Jux saizi yake ni kina marioo
Mkuu huenda huyo Jux hata hashindani na Diamond anaishi maisha yake tu, ila haters wa diamond wanajaribu mshindanisha na kila wanayemuona maana kila wanayemtumia wanafail inabidi watafte mwingine.
 
Jux hapo ana msafara gani mkuu πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Jux atafute size yake mond kamuacha sana. Wasanii wadogo wasiojiamini wengi wanasafiria nyota ya mond kwa sasa. Jux saizi yake ni kina marioo
Dah!kwhyo mtu asiishi maisha yke aogope kushndnshwa na huyo ndg yenu?mibongo bhna!!!
 
RR Cullian kulinganisha na hii ya Jux ni akili mbaya tu au mwehu peke yake ndio anaweza jaribu kutaka linganisha hivi vitu
 
Reactions: Qwy
Umeamua kuua kabisaaa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Extrovert
 
Mimi nahisi Jux atachemsha, Diamond tayari ana fanbase kubwa tena international opportunities anazo nyingi , simchukii Jux but hata nyimbo akizofanys na wasanii wa nje ni chache, napenda Mziki wake though, nyimbo zake zote ni hits hapa Tanzania
Jux anaishi life lake ila watu ndo wanataka kutengeneza hiyo league. Kwa upande wengu natamani tuwe hata na wasanii 10 wenye mafanikio kama Diamond au zaidi yake ili game iajiri na kuwapa space watu wengi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…