Juma Lokole vs Stan Bakola wazichapa leo

Drama za kipuuzi sana zinaendelea mjini

Wanatugeuza wapumbavu
 
Hii inaakisi akili ya kizazi hiki Cha Sasa!
Wakati tunakuwa "ku-date" na mtu ilikuwa ni aibu! Hasa Binti asingeweza kuonesha "umalaya" wake hadharani!

Siku hizi Kuna wapiga debe wa umalaya wa wengine! Wanaume kabisa!
Mkuu,

Kajala alikuwa anamwaga radhi kucheza ngoma za kujifunua uchi tangu wazee tuko sekondari miaka ya mwanzo ya tisini. Yeye na squad yake ile ya Jitegemee na washikaji zake wale wa Polisi Oysterbay na Namanga.

Wakati Konde Boy bado mdomo wake unanukia maziwa ya mama hata hajapata wazo kwamba atakanyaga Mchafukoge Bongo Dar es salaam.
 
Kuna jamaa mmoja nilimshawishi kujinga jf akajiunga siku mmoja akapost thread wakaaza kumpayukia jamaa akacha thread ipepe hakujibu kitu ananipigia simu anasema

Ule mtandao unauweza wewe watu much know sana nilecheka sana
hahahaha humu inabidi uende na watu walivyo ukisemwa komaa nae, akifanya hivi the same, bila hivyo utaogopa mno
 
Ndipo hapo nashangaa, anayekula mzigo mwingine wanaopigana wengine...
Hawa ndio nguvu kazi ya Taifa...

View: https://www.youtube.com/watch?v=FBpQHsRnYF8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ