Juma Nature akataa kushiriki Wasafi Festival kisa malipo kidogo ya laki tano

Juma Nature akataa kushiriki Wasafi Festival kisa malipo kidogo ya laki tano

Usupa staa unakuwa na sehemu yake ambayo huko ndio una play role yake.

Unajua kwasababu gani hao wenye vipaji hawasikiki?

Ni kwasababu ya jamii imeshiba sana ujinga (Dizasta Said)

Tukiwa na jamii ambayo ina vijana conscious hao kina Mwijaku hawezi kupewa air time ya kuongelewa kwasababu ataonekana mpuuzi machoni mwa watu.

Na kwanzia hapo kila mtu atajua namna pekee ya kukubalika ni kufanya kitu kwa weledi kuzingatia ubora kwasababu ndio soko linavyotaka
Huu ujinga unaitwa populist delusion na unawasumbua sana nchi za ulaya na US!
Huu ujinga umeletwa na mitandao ya jamii, sababu jamii imezidiwa na idadi kubwa ya wajinga.
Sasa wanajipanga na kuleta AI katika kila sehemu ya maisha yao, ili kuwanyofoa hawa viumbe wajinga, iwe ni kazi au fani,
Na sasa wameshaanza kusajili wanamuziki wa AI,
 
Dh!
Watoto wa Dotcom Bwana[emoji23][emoji23][emoji23]

Mnasema nature si lolote?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bila akina nature kuupambania mziki,usingefika hapo ulipo mlipoukutia nyie.
Nyie acheni kabisa.


Hivi mnaijua hakuna kulala nyie?
Hapo sijaweka mapanga ya mgambo.


Sema siyo kosa lenu,ni kwamba mmezaliwa mwaka 2000 2005 nature anatrend,nyie Bado vichanga mnanyonya maziwa,hamuelewi chochote wakati huo na hamuujui mziki.
Na ni makosa yenu kutokufuatilia.
 
Dh!
Watoto wa Dotcom Bwana[emoji23][emoji23][emoji23]

Mnasema nature si lolote?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bila akina nature kuupambania mziki,usingefika hapo ulipo mlipoukutia nyie.
Nyie acheni kabisa.


Hivi mnaijua hakuna kulala nyie?
Hapo sijaweka mapanga ya mgambo.


Sema siyo kosa lenu,ni kwamba mmezaliwa mwaka 2000 2005 nature anatrend,nyie Bado vichanga mnanyonya maziwa,hamuujui mziki.
Aisee..
Kumbe ulikuwepo..


1693867630806.png
 
Dh!
Watoto wa Dotcom Bwana[emoji23][emoji23][emoji23]

Mnasema nature si lolote?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bila akina nature kuupambania mziki,usingefika hapo ulipo mlipoukutia nyie.
Nyie acheni kabisa.


Hivi mnaijua hakuna kulala nyie?
Hapo sijaweka mapanga ya mgambo.


Sema siyo kosa lenu,ni kwamba mmezaliwa mwaka 2000 2005 nature anatrend,nyie Bado vichanga mnanyonya maziwa,hamuelewi chochote wakati huo na hamuujui mziki.
Na ni makosa yenu kutokufuatilia.
Wanachekesha na kushangaza sana hawa watoto!
 
Wanachekesha na kushangaza sana hawa watoto!
Halafu wamekaza kabisa
Eti necha kaonewa huruma

Nimechekaa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku muda huo beat ya hakuna kulala ikizunguka kichwani
Nawazia beat zao za uchochoroni huko,uje ulinganishe na beat za kina pfunk,J

Ile video tu vibe lake, uje ulete ulinganisho na za kina nani hao wanawaita sijui nenga.

Watoto wanadharau hawa.
 
ukweli ni kwamba Music industry au celebrity industry kwa ujumla haijawahi kuwa about talent lakini it is about usupa staa. Hii haijaanza leo wala Jana.
Kama ni talent, Kuna watu maelfu kwa Malaki hapa Tz Wana talent kuliko kina diamond,alikiba, young lunya hata hao kina Nature etc. Lakini hawajulikani Kwasababu hawana nyota ya usupa staa na kutrend.

Although unaweza kumake case kuwa wasanii wa zamani walikuwa na talent kuliko wa sikuhizi kwasababū zamani ili utrend inabidi uwe na kipaji, sikuhizi sio lazima uwe na kipaji ili utrend ni ujanja ujanja na connection, kwahyo unakuwa na supastaas wengi wasio na vipaji.

But the issue inabaki palepale, uwe na talent au usiwe nayo, kwenye music/celebrity industry kinachomata namba 1 ni usupastaa na kutrend kwako.

Hicho ndo kinadetermine thamani na dau lako.

Kwasasa Nature sio supastaa na wala hatrend, na hata fanbase yake ni wazee wa 30+ ambao hawahudhurii hizi show
Hawa jamaa wanazungumzia ushabiki kwenye masuala ya hela na uwekezaji wa watu.
Kwanza Wasafi Festival inahudhuriwa na vijana under 30 wengi kuliko watu wazima, sasa tiketi zitauza kwa nani kati ya Nature na let's say Jux?

Mtu anakwambia eti Juma alivyotoa album ya Ugali alikuwa sijui sekondari, mtu huyohuyo Wasafi Festival haina maudhui yake haendi ila anataka Juma Nature alipwe "kwa heshima". Na mtu huyo wala hashabikii msanii ambaye alivuma akiwa anatambaa, ila anataka rika la hiyo Festival lishabikie msanii aliyevuma kipindi halijaanza shule. Huwezi pata mauzo kwa kutumia hizi nadharia.

Suala la malipo honestly Nature kapewa dau dogo, sasa kakataa labda kwenye negotiations akataka dau ambalo waandaaji wameona hana thamani hiyo kwenye audience yao au yawezekana kakataa bid bila kutoa ofa yake. Hii show sio Hall of Fame kwamba unakuja kwa huruma ya fans wako na tunakuita kwa heshima, this is business.

Maudhui ya hii festival hayaendani na hadhi ya kina Juma Nature. Kuna show ya old school inabidi iandaliwe mahsusi na iwaunganishe legends wote hao. Msuguano utakaotokea kwenye maandalizi sio wa kitoto, humo kwenye legends kuna walevi kibao, watu pumzi imekata muda hawakumbuki last time wamepanda stejini lini, wahuni wasiozingatia makubaliano wapo wa kutosha na tabu nyinginezo. Na hapo ubahatishe hawa keyboard fans wenye majukumu mengi kwa sasa wanaodai watahudhuria. Waandaaji wanazingatia vitu vingi wanakacha event kama hiyo.
 
Umesema ukweli dada,laki Tano Ndo alikua analipwa miaka ya elf 2 Leo Tena wampe laki Tano

Hawamjui nature Hawa wanaropokwa tu
Hawa watoto wanadhani Sir Nature ni boya flan hivi asiyejitambua kama wakina Chidy ndio maana wanaona laki 5 inamfaa wakati mwenzao laki 5 anaingiza ndani ya dakika kadhaa akiwa chini ya mti anakula zake kuberi au anatafuna gomba, [emoji38]

Ni sawa na sasa hivi umuite komando Jide eti apande kwenye tamasha lako umpe laki 5 kisa ni wa zamani, wakati wasanii wa siku hizi wanaringishiana Range, Komando alishaanza kuiendesha mapema kabisa miaka ya 2000,

Au umuite mtu kama Jay Moe useme unampa laki 5 kisa wa zamani, hahahaha wana utani wa ngumi.
 
Nature ana upepo wewe, nyimbo zake zile zile old school kuna kundi kubwa tu la mashabiki wataenda kumtizama.

Ana upepo wa mashabiki ndio maana huwa wanapenda kumchukuaga.
Huenda akastahili zaidi ya hiyo, ila wasafi nao ni wafanyabiashara, hivi kweli watoe mamilioni kwa Juma Nature? Mtu wimbo wake wa mwisho hata hatujui ulitoka lini, kwanza kibiashara kabisa asingefikiriwa kabisa.
 
Nature ana upepo wewe, nyimbo zake zile zile old school kuna kundi kubwa tu la mashabiki wataenda kumtizama.

Ana upepo wa mashabiki ndio maana huwa wanapenda kumchukuaga.
Huenda akastahili zaidi ya hiyo, ila wasafi nao ni wafanyabiashara, hivi kweli watoe mamilioni kwa Juma Nature? Mtu wimbo wake wa mwisho hata hatujui ulitoka lini, kwanza kibiashara kabisa asingefikiriwa kabisa.
Juma Nature alitulisha ugali stejini 🤣
 
Nature ndiyo msanii wa kwanza kujaza Diamond Jubilee na nje likabaki shazi kama lote ,Respect The OG.

Kama unaona laki 5 nyingi kampe ZUCHU.
Watoto wa juzi hawaelewi uzito wa Nature. That nigga is a tripple OG.

Yani ni sawa na Marekani umuite Snoop Doggy Dog kwenye tamasha ambalo wapo New School artists kama wakina Wiz Khalifa, YG, Migos, Roddy Ricch na wengineo kisha utake kumlipa $250 eti kwa sababu ata perform kwa nusu saa na hana nyimbo mpya.
 
Back
Top Bottom