NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Ndo maana sio wewe mkuu.😂😂😂Miye ningeichukua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana sio wewe mkuu.😂😂😂Miye ningeichukua
Kwahiyo kutokumjua kiroboto ndo ushamba?
Inaweza kuwa tafsiri ya ushamba kwako wewe ambae mtazamo wako ushamba ni kutokumjua huyo juma necha, na mimi tafsiri ya ushamba kwangu ikawa nakuona wewe ndo mshamba kwa kuona watu ni washamba kisa hawamjuiKKwani tafsiri ya ushamba si ni kutokujua kitu au jambo Fulani?Ndio ni ushamba.
Huu ujinga unaitwa populist delusion na unawasumbua sana nchi za ulaya na US!Usupa staa unakuwa na sehemu yake ambayo huko ndio una play role yake.
Unajua kwasababu gani hao wenye vipaji hawasikiki?
Ni kwasababu ya jamii imeshiba sana ujinga (Dizasta Said)
Tukiwa na jamii ambayo ina vijana conscious hao kina Mwijaku hawezi kupewa air time ya kuongelewa kwasababu ataonekana mpuuzi machoni mwa watu.
Na kwanzia hapo kila mtu atajua namna pekee ya kukubalika ni kufanya kitu kwa weledi kuzingatia ubora kwasababu ndio soko linavyotaka
Aisee..Dh!
Watoto wa Dotcom Bwana[emoji23][emoji23][emoji23]
Mnasema nature si lolote?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bila akina nature kuupambania mziki,usingefika hapo ulipo mlipoukutia nyie.
Nyie acheni kabisa.
Hivi mnaijua hakuna kulala nyie?
Hapo sijaweka mapanga ya mgambo.
Sema siyo kosa lenu,ni kwamba mmezaliwa mwaka 2000 2005 nature anatrend,nyie Bado vichanga mnanyonya maziwa,hamuujui mziki.
Naona madogo wanavyojilisha upepo humu eti necha ndio nani.
Nimekubali Mtawa..Naona madogo wanavyojilisha upepo humu eti necha ndio nani.
Eti tutajie wimbo wa necha tishio
Aiseee
Hiyo hakuna kulala moja tu,hata wakikusanya nyimbo za hao dotcom wao woote wakazichanganya zote,bado haziufikii hakuna kulala.
Wanachekesha na kushangaza sana hawa watoto!Dh!
Watoto wa Dotcom Bwana[emoji23][emoji23][emoji23]
Mnasema nature si lolote?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bila akina nature kuupambania mziki,usingefika hapo ulipo mlipoukutia nyie.
Nyie acheni kabisa.
Hivi mnaijua hakuna kulala nyie?
Hapo sijaweka mapanga ya mgambo.
Sema siyo kosa lenu,ni kwamba mmezaliwa mwaka 2000 2005 nature anatrend,nyie Bado vichanga mnanyonya maziwa,hamuelewi chochote wakati huo na hamuujui mziki.
Na ni makosa yenu kutokufuatilia.
Halafu wamekaza kabisaWanachekesha na kushangaza sana hawa watoto!
Hawa jamaa wanazungumzia ushabiki kwenye masuala ya hela na uwekezaji wa watu.ukweli ni kwamba Music industry au celebrity industry kwa ujumla haijawahi kuwa about talent lakini it is about usupa staa. Hii haijaanza leo wala Jana.
Kama ni talent, Kuna watu maelfu kwa Malaki hapa Tz Wana talent kuliko kina diamond,alikiba, young lunya hata hao kina Nature etc. Lakini hawajulikani Kwasababu hawana nyota ya usupa staa na kutrend.
Although unaweza kumake case kuwa wasanii wa zamani walikuwa na talent kuliko wa sikuhizi kwasababū zamani ili utrend inabidi uwe na kipaji, sikuhizi sio lazima uwe na kipaji ili utrend ni ujanja ujanja na connection, kwahyo unakuwa na supastaas wengi wasio na vipaji.
But the issue inabaki palepale, uwe na talent au usiwe nayo, kwenye music/celebrity industry kinachomata namba 1 ni usupastaa na kutrend kwako.
Hicho ndo kinadetermine thamani na dau lako.
Kwasasa Nature sio supastaa na wala hatrend, na hata fanbase yake ni wazee wa 30+ ambao hawahudhurii hizi show
Hata watangaze40000 hakuna mwana jamii forum atakae kosa unantani na kibla wewe?Tuwe wakweli hivi Juma nature sasa hivi atangaze show kiingilio 2000 kwa kichwa wangapi humu wataenda?
Hawa watoto wanadhani Sir Nature ni boya flan hivi asiyejitambua kama wakina Chidy ndio maana wanaona laki 5 inamfaa wakati mwenzao laki 5 anaingiza ndani ya dakika kadhaa akiwa chini ya mti anakula zake kuberi au anatafuna gomba, [emoji38]Umesema ukweli dada,laki Tano Ndo alikua analipwa miaka ya elf 2 Leo Tena wampe laki Tano
Hawamjui nature Hawa wanaropokwa tu
Huenda akastahili zaidi ya hiyo, ila wasafi nao ni wafanyabiashara, hivi kweli watoe mamilioni kwa Juma Nature? Mtu wimbo wake wa mwisho hata hatujui ulitoka lini, kwanza kibiashara kabisa asingefikiriwa kabisa.
Juma Nature alitulisha ugali stejini 🤣Huenda akastahili zaidi ya hiyo, ila wasafi nao ni wafanyabiashara, hivi kweli watoe mamilioni kwa Juma Nature? Mtu wimbo wake wa mwisho hata hatujui ulitoka lini, kwanza kibiashara kabisa asingefikiriwa kabisa.
Watoto wa juzi hawaelewi uzito wa Nature. That nigga is a tripple OG.Nature ndiyo msanii wa kwanza kujaza Diamond Jubilee na nje likabaki shazi kama lote ,Respect The OG.
Kama unaona laki 5 nyingi kampe ZUCHU.
Bila shaka hajui pesa.....!
MUHIMU KAZI....PESA ZINAFUATA BAADAE.
TRUST ME.