Juma Nature kama muziki umekushinda tafuta kazi nyingine, usichafue watu

Juma Nature kama muziki umekushinda tafuta kazi nyingine, usichafue watu

View attachment 2739422

Kazi ya sanaa kama ilivyo taaluma nyingine inahitaji sana discipline.

Na nidhamu ya kazi ni tatizo kubwa sana kwa kaka yetu Juma Nature.

Hatukatai Juma ni legend anaepaswa kupewa heshima, ila amekuwa anazingua sana kwa kutokubali kukua.

Usela wa uswahilini unamharibia sana.

Nature bado anashikwa masikio na mtu aliyewagombanisha na na washikaji zake anaeitwa Rich One huyu mchizi ni wale watu wanaoamini kwenye majungu na fitna ili kusavaivu. Amekuwa akimchafulia sana Nature mambo yake yeye anajua Nature anapenda beer basi akishamtafutia hela ya beer amemmaliza.

Sasa Nature unapopata nafasi ya pili usiitumie vibaya. Wewe unajua kabisa Diamond hawezi na hatokaa hata kufikiria kukulipa laki tano upande juu ya stage.

Nature unajua Diamond anakupambanieni kiasi gani mrudi kwenye game tena bila yeye kupata chochote. Wewe ulishawai mtukana mpaka kwenye nyimbo zako yeye anakulipa kwa kukupa shows mikoa 10 na kusaidia kuwapromotia album mnayoandaa na collabo za wasafi na wasanii wakubwa kawatolea kiroho safi na hapati hata senti 5.
Huyo meneja wako Rich One amewai fanya nini la maana toka utoke kwa Fella?
Haya ameandika alichoandika kwenye akaunti yako, mmepata faida gani? Yeye anataka kukukeep usitoke kwenye mikono yake wewe unapata nini? Beer?
Juma kaka badilika au tafuta kazi nyingine ya kufanya maana unazingua sana, sio leo sio jana achana na ego za nilikuwa mkubwa hata r kelly alikuwa mkubwa ila nyakati zinabadilika tumia akili.
Tuwe tunaangalia na kuheshimu watu na kazi zao. Sanaa imeenda mbele sana siku hizi na nilikuwa sijui kama kwenye show bado kuna malipo kama haya (hususani kwa Legends kama Nature).

Nature sanaa yake ndio bidhaa yake na yeye ameipa value yake. Anapohitaji malipo sahihi kwa kwazi ya jasho lake huwez igeuza kwamba ni hisani ati kapewa nafasi ya pili? Nafasi ya pili ipi? Yupo sahihi kukataa kupanda kwa malipo ambayo si stahili kwa hadhi yake.
 
Nature kupewa shows 10.
Collabo na Diamond, Zuchu, Mbosso na Lavalava kwenye album moja.
Hiyo ni nafasi ya pili sio kila msanii mkongwe anaipata.

Pia Nature ajalipwa laki 5 ni uongo.

Nature apunguze mitungi.

Nature abadili meneja.
 
Mtu mzima yeyote anajua kitu anachofanya na anachohitaji hivyo huwezi mpangia mtu afanye utakavyo ww bila ridhaa yake. Acha aishi na misimamo yake
Misimamo yake asichafue brand za wenzie.

Angepotezea kimya kimya bila kuchafua mtu na kumpaka choo.
 
Nature kupewa shows 10.
Collabo na Diamond, Zuchu, Mbosso na Lavalava kwenye album moja.
Hiyo ni nafasi ya pili sio kila msanii mkongwe anaipata.

Pia Nature ajalipwa laki 5 ni uongo.

Nature apunguze mitungi.

Nature abadili meneja.
Mashoga bhana kwaiyo wewe na juma nani ana akili?
 
ivi unajua beef la Ruge(Clouds) na Mondi lilikua ni malipo finyu kwenye ile Fiesta kama sikosei ya 2015 hivi
Mondi alitegemea kulipwa sh. X. Ruge akasema hapana nakupa sh. Y , na ikiwa Y << X
Kutoka hapo nyimbo za Mondi hazikuchezwa tena Clouds

Naweka rikodi sawa tu
 
Back
Top Bottom