Kuna kitu hakipo sawa ila kama shida ni pesa,
Nature tafadhari wewe kapige kazi atakama ni bure huyo muajiri wako hawezi kukuacha bure bure, atakurudisha barabarani, kumbuka kawarudisha wengi tu,
kumbuka wewe mara ya mwisho kupanda stejini ni lini na ulikuwa chini ya nani kwa ngoma zipi enzi hizo uliwarusha mashabiki.?....vipi leo una nyimbo gani kali za kusimamisha umati..?.
Hebu usije kuchezea nafasi hii, kumbuka hapo ukumbini utakapoimba siyo kwamba nyimbo zako zitachuja bali zitarudi midomoni mwa mashabiki wako maana ni kitambo sana.
Hebu sogea karibu na waridi unukie.