Juma Nature kama muziki umekushinda tafuta kazi nyingine, usichafue watu

Tuwe tunaangalia na kuheshimu watu na kazi zao. Sanaa imeenda mbele sana siku hizi na nilikuwa sijui kama kwenye show bado kuna malipo kama haya (hususani kwa Legends kama Nature).

Nature sanaa yake ndio bidhaa yake na yeye ameipa value yake. Anapohitaji malipo sahihi kwa kwazi ya jasho lake huwez igeuza kwamba ni hisani ati kapewa nafasi ya pili? Nafasi ya pili ipi? Yupo sahihi kukataa kupanda kwa malipo ambayo si stahili kwa hadhi yake.
 
Nature kupewa shows 10.
Collabo na Diamond, Zuchu, Mbosso na Lavalava kwenye album moja.
Hiyo ni nafasi ya pili sio kila msanii mkongwe anaipata.

Pia Nature ajalipwa laki 5 ni uongo.

Nature apunguze mitungi.

Nature abadili meneja.
 
Mtu mzima yeyote anajua kitu anachofanya na anachohitaji hivyo huwezi mpangia mtu afanye utakavyo ww bila ridhaa yake. Acha aishi na misimamo yake
Misimamo yake asichafue brand za wenzie.

Angepotezea kimya kimya bila kuchafua mtu na kumpaka choo.
 
Nature kupewa shows 10.
Collabo na Diamond, Zuchu, Mbosso na Lavalava kwenye album moja.
Hiyo ni nafasi ya pili sio kila msanii mkongwe anaipata.

Pia Nature ajalipwa laki 5 ni uongo.

Nature apunguze mitungi.

Nature abadili meneja.
Mashoga bhana kwaiyo wewe na juma nani ana akili?
 
ivi unajua beef la Ruge(Clouds) na Mondi lilikua ni malipo finyu kwenye ile Fiesta kama sikosei ya 2015 hivi
Mondi alitegemea kulipwa sh. X. Ruge akasema hapana nakupa sh. Y , na ikiwa Y << X
Kutoka hapo nyimbo za Mondi hazikuchezwa tena Clouds

Naweka rikodi sawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…