The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Ukiendelea kujipendekeza kwake na wewe atakuharibu pia,kukataa malipo ya kinyonyaji ndio kuharibu? wewe kama unalipwa buku mbili kua chawa wa WCB basi usitake na Nature nae alipwe kidogo kwa kazi kubwa,Juma Nature ni brand tambua hilo kwanza,au na wewe ni vile vitoto vya juzi ambavyo havimjui Nature ni nani hasa?Angekuwa na akili asingeharibu anapopata rizki
Wakenya wanaita sturungi [emoji23][emoji23] chai ya rangiHakuna tusi/ kejeli mpya kwangu.
Ila ukweli ni kwamba kanywe kwanza hata chai ya rangi ndio urudi jukwaani kuwajadili watu wasiokujua.
Kumekuchaaa🤣🤣Mtoto idi kazua balaa. Mlikuwa mnasema ruge ni mnyonyaji kumbe wasafi ndio watafunaji kabisaaa.
Hivi unajua waridi una miba na ukiusogelea vibaya miiba zinakuchoma au unazungumzia waridi wa mchongo?Hebu sogea karibu na waridi unukie.
Huyo kwenye avatar ni wewe?We Sinza la Masinza Pazuri...
Kwa hiyo njaa za Juma Nature ndiyo afanye show kwa Laki Tano? Unajua show za Sir Nature Kibra vizuri kweli wewe?Au ndiyo umezaliwa kwenye kizazi cha Amapiano
Shida Isiwe sababu ya kumkandamiza mtu...Hata wewe ujifunze kwa Nature...
Kua makini kijana unaweza ukawa unaenda kuyajenga na Nature mwenyewe avatar isikupumbaze utashikishwa mimba shobo robo zitakuponzaHuyo kwenye avatar ni wewe?
Nakuja PM tuyajenge.
Unataka nikuparamie wewe? Unaona wivu?Kua makini kijana unaweza ukawa unaenda kuyajenga na Nature mwenyewe avatar isikupumbaze utashikishwa mimba shobo robo zitakuponza
Km umezoea kuwapanulia wapanulie hao hao Mimi niache usinizoeeUnataka nikuparamie wewe? Unaona wivu?
Sogea karibu ila usiliguse litakuchoma,Hivi unajua waridi una miba na ukiusogelea vibaya miiba zinakuchoma au unazungumzia waridi wa mchongo?
Shida hatuna uhakika ni kweli kalipwa hiyo kwasababu hiyo account yake ya mtandao uliosema analipwa unaendeshwa na rich one manager wakeWe Sinza la Masinza Pazuri...
Kwa hiyo njaa za Juma Nature ndiyo afanye show kwa Laki Tano? Unajua show za Sir Nature Kibra vizuri kweli wewe?Au ndiyo umezaliwa kwenye kizazi cha Amapiano
Shida Isiwe sababu ya kumkandamiza mtu...Hata wewe ujifunze kwa Nature...
Yaani Juma nature akapige show bure, au sio?Kuna kitu hakipo sawa ila kama shida ni pesa,
Nature tafadhari wewe kapige kazi atakama ni bure huyo muajiri wako hawezi kukuacha bure bure, atakurudisha barabarani, kumbuka kawarudisha wengi tu,
kumbuka wewe mara ya mwisho kupanda stejini ni lini na ulikuwa chini ya nani kwa ngoma zipi enzi hizo uliwarusha mashabiki.?....vipi leo una nyimbo gani kali za kusimamisha umati..?.
Hebu usije kuchezea nafasi hii, kumbuka hapo ukumbini utakapoimba siyo kwamba nyimbo zako zitachuja bali zitarudi midomoni mwa mashabiki wako maana ni kitambo sana.
Hebu sogea karibu na waridi unukie.
Amelipwa walichohitaji kama kundi lao.Mbona hufunguki amelipwa kiasi gani?unakataa tu hiyo 500k!!!
Ukitaja hicho kiasi itapendezaAmelipwa walichohitaji kama kundi lao.
Yanaingiza sh ngapi,na fiesta inaingiza sh ngapiKwamba Kwevo anawapambania vilivyo wewe jamaa ni juha kubwa sana...Kwevo anajipambania yeye na brand yake na Tamasha lake lakini ukweli ni kwamba hayo matamasha hayaingizagi pesa ya maana kwakuwa hamna VIP wala nini.Fiesta ndio Tamasha pekee linalolipa vizuri nchi hii
Akiumwa msije kutusumbuwa michango tu.We Jamaa huyo mtu usimchukulie poa anamiliki maekari ya mashamba ya KOROSHO huko Ntwara, punguza shobo mtoto wa kiume
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Akiumwa msije kutusumbuwa michango tu.