Juma Nature kama muziki umekushinda tafuta kazi nyingine, usichafue watu

Ninachokiona Mimi ni chuki tu kwa Diamond, kwa alipofika Diamond kumchukia ni kujisumbuwa bure tu.
 
Wasanii wangapi wameugua na wakachangiwa? Prof J licha ya kua msanii mkongwe,pia alikua mbunge ila alichangiwa, au Nature ndio atakua mtu wa kwanza kuchangiwa hela za matibabu?
hIi imeenda
Watu wana mambo ya kiwaki sana kisa kakataa laki tano ya show akiumwa asiseme anahitaji msaada
Yule dj wa clouds aliefariki juzi juzi mbona kafanya show nying na bado alihitaji msaada kutoka kwa watu
Phd nyinge feki kama za musukuma
 
Ninachokiona Mimi ni chuki tu kwa Diamond, kwa alipofika Diamond kumchukia ni kujisumbuwa bure tu.
Kwahiyo unachokiona wewe ndio akione na Juma Nature? Unachokiona wewe ndio sababu ya Nature kukataa show? Nature kaweka sababu yake ila wewe unajua zaidi kuliko Juma Nature mwenyewe! Haya ni maajabu aisee,mbongo mpe picha tu,habari ataandika mwenyewe.
 
Wewe ni mpumbavu sawa na huyo mpumbavu mwenzako.

Hili jukwaa la celebrate naeleweka vizuri nadimamia wapi, ukiona namtetea Diamond Mimi siyo chizi, ndio maana tunaweka joining date zenu maana hamna ulijuwalo hapa Celebrate forum back to those days.

Cc: Chinga One angalia hawa Watoto eti leo wanaona Mimi kama vile chawa wa Diamond kwa kusimamia haki na ukweli.
 
Ona ushaanza kumuita mumeo Chinga One aje kukupiga tag, acha ujinga unapenda kuzusha Mambo yasiyo na ukweli, nimekuuliza wapi Nature aliposema anamchukia DoMondo? Hujajibu kitu
Ninachokiona Mimi ni chuki tu kwa Diamond
 

Hakuna tusi/ kejeli mpya kwangu.

Ila ukweli ni kwamba kanywe kwanza hata chai ya rangi ndio urudi jukwaani kuwajadili watu wasiokujua.
Mtoto wa juzi huyu amjui nature
 
Juma lokole kwenye moja na mbili
 
Wewe una matatizo ya akili sio bure,kuna stage fulani uliiruka kwenye makuzi yako ndio unataka kuiishi sasa hivi uzeeni mwako,

Kwahiyo habari za Celebrities zinapatikana kwenye forums ya JF pekee? mtu ambae sio member wa humu toka kitambo anakua hazijui habari za celebrities kisa hakua JF?

Uliuchezea ujana wako ndio maana sasa hivi hasira zako unazihamishia hapa JF kwa watu ambao hata huwajui,wewe ni mpumbavu sana.
 
Mkuuu usihangaike na shabiki wa yanga
 
Mtoto idi kazua balaa. Mlikuwa mnasema ruge ni mnyonyaji kumbe wasafi ndio watafunaji kabisaaa.
Hawa Wasafi ni manyonya damu sana nakumbuka hyo laki 5 walikua wanalipwa kina Soggy miaka 20 iliyopita Leo wanataka kumpa nature?!!!
Wapuuzi hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…