KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Hivi huyu mtu bado yupo, bado ni mbunge?Uchaguzi utakuwa huru na wa haki.
====
"Nadhani uchaguzi ujao utakuwa huru na haki,na Wakurugenzi hawatalazimishwa kuwatangaza walioshindwa kuwa washindi" Juma Nkamia
View attachment 2216769
Kwa hiyo CCM ni ya Mwenyekiti?Ushauri kwa mwenyekiti wa CCM throw away old dogs kugombea CCM ubunge weka damu mpya vinginevyo utaishia kupata wanafiki tu
Chama kina utajiri wa wengi tu ambao hawajawahi kanyaga bungeni ambao wako fit wangekusaidia
Tafuta damu mpya
Ok atajua mwenyewe how to handle old dogs ambao ni wanafiki watafuta opportunity tuKwa hiyo CCM ni ya Mwenyekiti?
Huyu akamatwe akatoe maelezo ya kauli zake.
Kauli zake zinaweza sababisha vita vya wenyewe kwa wenyeee.
Amaichonganisha serikali na wananchi na vile vile tume ya uchaguzi na wananchi.
Ameanza kutubuSi huyu huyu alikuwa anataka kupeleka hoja bungeni hayati Dr.Magufuli aongezewe muda nini kimempata.
Mdomo tu unaonyesha huwa haelewekiUchaguzi utakuwa huru na wa haki.
====
"Nadhani uchaguzi ujao utakuwa huru na haki,na Wakurugenzi hawatalazimishwa kuwatangaza walioshindwa kuwa washindi" Juma Nkamia
View attachment 2216769
Jifunze kumjibu aliye toa hoja wewe taga! Ongea na Nkamia, pumbafu!2025 machadema mtashinda kwa kishindo
Awamu ya 6 hii, usituletee kesi za awamu ya 5!Huyu akamatwe akatoe maelezo ya kauli zake.
Kauli zake zinaweza sababisha vita vya wenyewe kwa wenyeee.
Amaichonganisha serikali na wananchi na vile vile tume ya uchaguzi na wananchi.
Yeah, mpaka akafa!Kila anayesema Sasa Hivi Namuona mnafiki tu!! Sisi Tumesema kipindi Meko ni Meko siyo mnaacha Decay imeanza Chato ndo mnajifanya kusema si ujinga huu?
Mlikuwa wapi kipindi tunatishwa na kunyangβanywa passport!
Kwa kifupi tunemtesa jamaa kipindi yuko hai
We were well informed (McOmorro twitter) mnanikumbuka??
Ushauri kwa mwenyekiti wa CCM throw away old dogs kugombea CCM ubunge weka damu mpya vinginevyo utaishia kupata wanafiki tu
Chama kina utajiri wa wengi tu ambao hawajawahi kanyaga bungeni ambao wako fit wangekusaidia
Tafuta damu mpya
Hapo sio legacy ila anakivua nguo chama chake.Legasi inazidi kupopolewa
Nkamia, among the hopeless mp I have ever seen. Naona sasa kipofu kaona baada ya maujinga aliyo fanya akiwa mbunge na naibu waziri.Hivi Ni saa ngapi saa hivi jamani nipeni muda tafadhari!
Ni pale tu chawa anapopidua mwendo na kurejea anakotoka kwa kurudi kinyumenyume hawezi kuwa sisimizi atabadirika tu jina na kuwa chawa mawenge.
Wewe ndo umepatwa na taharuki au siyoAna ushahidi wa waliopitishwa bila kushinda? Viongozi kama hawa wanaoibua taharuki wanakera sana. Ukiwa kiongozi unapaswa sana kuwa na BUSARA NA NIDHAMU YA ULIMI! πππ
Mkuu inawezekana ameongozwa Sara ya toba sio bureAmeanza kutubu
79.435% aliharibu....mbumbumbu wanaomshabikia wanafuata mkumbo tuIla Magufuli kuna mambo aliharibu Sana hasa ishu za kujipatia ushindi wa mezani
Chawa wa mwendazake wamegeuka ghafla na kuwa kumbikumbi akili zao zinarejea taratiiibuu....Uchaguzi utakuwa huru na wa haki.
====
"Nadhani uchaguzi ujao utakuwa huru na haki,na Wakurugenzi hawatalazimishwa kuwatangaza walioshindwa kuwa washindi" Juma Nkamia
View attachment 2216769
Lakini mkuu 'YEHODA', unanipa shida siku hizi kukusoma na kukuelewa.Ok atajua mwenyewe how to handle old dogs ambao ni wanafiki watafuta opportunity tu
Taratibu mkuu. Soma vizuri. Hakuna mtu aliyeridhika na chaguzi zinavyoendeshwa Tanzania. Hapa watu wanasanifu tu ropoka ya kijinga Nkamia, mmoja wa watu ovyo sana nchini. Alichoropoka ni open secret. Wizi wa uchaguzi mzima unaofanya na CCM/dola ngazi zote ni open secret. Hakuna mwenye akili asiyejua. No need to scream all the time. Madai ya katiba mpya na tume huru ni kielelezo cha kukerwa na uovyo huo kivitendo.Watu mnaridhika mapema sana, kuna haja gani kutangaza mshindi wa halali kwenye viti vya ubunge na udiwani lakini wasimtangaze mshindi wa halali kwenye kiti cha Urais?
Kumbe wengi wenu mmeshakata tamaa mnaridhika na vidogo bora maisha yaende, kwangu kama mshindi wa nafsi ya Urais atachakachuliwa Masaki au pengine popote bado huo uchaguzi hautakuwa huru na haki.
Ushindi wa mezani,wizi wa kura ni sehemu ya maisha ya CCM,sio JPM pekee.Ila Magufuli kuna mambo aliharibu Sana hasa ishu za kujipatia ushindi wa mezani