Juma Nkamia: 2025 Wakurugenzi hawatawatangaza walioshindwa Uchaguzi kuwa wameshinda

Juma Nkamia: 2025 Wakurugenzi hawatawatangaza walioshindwa Uchaguzi kuwa wameshinda

Ushauri kwa mwenyekiti wa CCM throw away old dogs kugombea CCM ubunge weka damu mpya vinginevyo utaishia kupata wanafiki tu

Chama kina utajiri wa wengi tu ambao hawajawahi kanyaga bungeni ambao wako fit wangekusaidia

Tafuta damu mpya
Kwa hiyo CCM ni ya Mwenyekiti?
 
Huyu akamatwe akatoe maelezo ya kauli zake.

Kauli zake zinaweza sababisha vita vya wenyewe kwa wenyeee.

Amaichonganisha serikali na wananchi na vile vile tume ya uchaguzi na wananchi.


Kwani ni uongo?

Hata asiyejua kusoma kwa kule kuona picha tu ilitosha kuelewa kilichofanyika!

Unakumbuka jamaa aliwahi kusema kuwa “ Eti Yani amteue mtu kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi (DED) halafu Mkurugenzi hiyo atangaze mshindi toka chama cha upinzani “ kwamba alimalizia Kwa kusemaje?

Kama utakuwa mfuatiliaji wa hayo mambo?!

Kwa kauli hiyo tu ni wazi kuwa uwezekano wa kujitokeza irregularities nyingi ni mkubwa mno!

Ná wakurugenzi kwa kuwa walitaka kuendelea ma uteuzi ni obviously watakuwa wamefanya alivyotaka bwana yule!

Iwe Kwa kuogopa kutumbuliwa na kibarua kuota nyasi au kwa kuogopa kudhuriwa n.k
 
2020 yule jamaa aliwambia kura zake za urais tume ilipangiwa za kutangaza hata kabla ya ule uchafuzi kufanyika.Waliambiwa kama hawajipendi,watangaze kwamba mpinzani ameshinda.
 
Huyu akamatwe akatoe maelezo ya kauli zake.

Kauli zake zinaweza sababisha vita vya wenyewe kwa wenyeee.

Amaichonganisha serikali na wananchi na vile vile tume ya uchaguzi na wananchi.
Awamu ya 6 hii, usituletee kesi za awamu ya 5!
 
Kila anayesema Sasa Hivi Namuona mnafiki tu!! Sisi Tumesema kipindi Meko ni Meko siyo mnaacha Decay imeanza Chato ndo mnajifanya kusema si ujinga huu?


Mlikuwa wapi kipindi tunatishwa na kunyang’anywa passport!

Kwa kifupi tunemtesa jamaa kipindi yuko hai

We were well informed (McOmorro twitter) mnanikumbuka??
Yeah, mpaka akafa!
 
Ushauri wako umepuuzwa
Ushauri kwa mwenyekiti wa CCM throw away old dogs kugombea CCM ubunge weka damu mpya vinginevyo utaishia kupata wanafiki tu

Chama kina utajiri wa wengi tu ambao hawajawahi kanyaga bungeni ambao wako fit wangekusaidia

Tafuta damu mpya
 
Hivi Ni saa ngapi saa hivi jamani nipeni muda tafadhari!
Ni pale tu chawa anapopidua mwendo na kurejea anakotoka kwa kurudi kinyumenyume hawezi kuwa sisimizi atabadirika tu jina na kuwa chawa mawenge.
Nkamia, among the hopeless mp I have ever seen. Naona sasa kipofu kaona baada ya maujinga aliyo fanya akiwa mbunge na naibu waziri.
Tuta elewana tuu.
 
Ana ushahidi wa waliopitishwa bila kushinda? Viongozi kama hawa wanaoibua taharuki wanakera sana. Ukiwa kiongozi unapaswa sana kuwa na BUSARA NA NIDHAMU YA ULIMI! 🙏🙏🙏
Wewe ndo umepatwa na taharuki au siyo
 
Uchaguzi utakuwa huru na wa haki.

====

"Nadhani uchaguzi ujao utakuwa huru na haki,na Wakurugenzi hawatalazimishwa kuwatangaza walioshindwa kuwa washindi" Juma Nkamia
View attachment 2216769
Chawa wa mwendazake wamegeuka ghafla na kuwa kumbikumbi akili zao zinarejea taratiiibuu....
Asante Mungu kwa mapinduzi baridi uliyotufanyia.
 
Ok atajua mwenyewe how to handle old dogs ambao ni wanafiki watafuta opportunity tu
Lakini mkuu 'YEHODA', unanipa shida siku hizi kukusoma na kukuelewa.
Hukuwa namna hii huko nyuma, ambako, nilishakata tamaa kabisa hata kukusoma. Wewe na mkuu 'Statesman' naona mna 'conflict' sana juu ya chama chenu cha CCM, hata haieleweki mnaposimamia ndani ya chama hicho.
 
Watu mnaridhika mapema sana, kuna haja gani kutangaza mshindi wa halali kwenye viti vya ubunge na udiwani lakini wasimtangaze mshindi wa halali kwenye kiti cha Urais?

Kumbe wengi wenu mmeshakata tamaa mnaridhika na vidogo bora maisha yaende, kwangu kama mshindi wa nafsi ya Urais atachakachuliwa Masaki au pengine popote bado huo uchaguzi hautakuwa huru na haki.
Taratibu mkuu. Soma vizuri. Hakuna mtu aliyeridhika na chaguzi zinavyoendeshwa Tanzania. Hapa watu wanasanifu tu ropoka ya kijinga Nkamia, mmoja wa watu ovyo sana nchini. Alichoropoka ni open secret. Wizi wa uchaguzi mzima unaofanya na CCM/dola ngazi zote ni open secret. Hakuna mwenye akili asiyejua. No need to scream all the time. Madai ya katiba mpya na tume huru ni kielelezo cha kukerwa na uovyo huo kivitendo.
 
Back
Top Bottom