Wote hao pamoja na covidal 19 ni laaana kwa taifa letuπ€ͺHivi mmenwona huyo tuuu!! Je ule aliyesema Mungu amshukuru presida naye vipi? Kifimbo aliyeingizwa C19 ? .yote kwa yote hakuna wa afadhali!!!!
Siwezi kujibu swali ambalo majibu yake unayo mwenyewe rohoni kwako.Kama yapi?
Kila binadam ana dark sides zake mkuu, hivyo yeye kutenda mambo mabaya ni jambo la kawaida kwa kila binadam.Although ametenda mengi but he had his dark sides.
Nkamia bado ana watoto wanaosoma?
Huyu jamaa nimemsiliza nikiwa Mdogo RTD
Unakuta wanajua ila kuna baadhi ya watu hawana aibu wanafanya mambo ya kina mwijaku hadi huko serikalini.I hope Rais Samia kasikia, nae ajifunze.
ajue na yeye wanamtumia tu, washamjulia, ukitaka kutongoza cheo msifie sifie tu huyu Mama analainika
Kama unamjua Juma wala huwezi kumshangaa πΌAmeongea kifasihi, alikuwa anamaanisha majukumu ya kifamilia.
Ila ameamua kutoa nyongo, wapo wengi design yake ndio maana unaona wote wanaolalamikia kauli yake ni wale wale machawa wamejistukia
Juma Mkamia anaweza kuwa ni mpumbavu...ila wakati wa Magufuli CCM asilimia kubwa walikuwa wanajikomba n kumsifia ...huyu kaonesha uungwana kusema ukweli!. Mnakumbula.Mwigulu.alirudishwaje.Uwaziri ,Kun mwingine wa Mkuranga aliunga mkono.wizi.waHizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga, ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!
Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela
View attachment 2987570
Godbless Lema
Mtandao wa X
====
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu
Namuunga mkono Lema 100%
Nawatakia Sabato Njema π
Yapi? Kuua, kutesa, kitojali utu. Kitopnadish mishahara, kutoajiri, kuua biashara ndo mambo makubwa hayoTell him to stay away from Magufuli legacy. Magufuli amefanya mambo makubwa ambayo yanaweza kuishi kwa zaidi ya miaka 300 mingine ijayo.
Kwa kweli jpm alikuwa full dictator. Yaani alikuwa above katiba. Eti anaamua kumtema mtu kwa wishes zake tu. Kweli nchi ilipatwa. Mungu fundiShujaa Magufuli alimtema alishagundua Unafiki wake yeye na Kessy wa Namanyele
Ficha ujinga mkuuchadema wanamlipa pesa ngapi kwa huu uzushi
KweliAmeongea kifasihi, alikuwa anamaanisha majukumu ya kifamilia.
Ila ameamua kutoa nyongo, wapo wengi design yake ndio maana unaona wote wanaolalamikia kauli yake ni wale wale machawa wamejistukia
Ujinga mtupuKila binadam ana dark sides zake mkuu, hivyo yeye kutenda mambo mabaya ni jambo la kawaida kwa kila binadam.