Pre GE2025 Juma Nkamia: Hayati Magufuli alipenda sana sifa hivyo nilimsifia ili Watoto wangu waende Shule

Pre GE2025 Juma Nkamia: Hayati Magufuli alipenda sana sifa hivyo nilimsifia ili Watoto wangu waende Shule

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Juma Nkamia amefungua njia. Ipo siku Humphrey Polepole naye ataongea kilichomfanya kuendesha operesheni ya kununua wabunge wa upinzani.

Na pia Makonda kuna siku ataeleza kilichomsukuma kuendesha operesheni ya:-
1. Kutaka kumpiga Nape na bastola.
2. Kuvamia kituo cha cloudstv.
3. Kumshambulia Lisu kwa risasi.
4. Kupora nyumba ya GSM.
5. Kuwabambikia watu kesi za kuuzia madawa ya kulevya mfano Ridhiwan Kikwete, Mbowe, Manji, n.k.
6. Kuteka watu, mfano Mo, Roma, Azory Gwanda, Ben Saa8, n.k.
7. N.k.

Siku hazigandi, jiwe aliyekuwa anasifiwa kila kona, sasa ananangwa kila kona.
 
Ubaya wa siasa ni mtu anakuwa tayari kudhulumu uhai wa mtu mwingine au kumfanyia unyama ili aendelee kubaki na madaraka.

Wanasiasa wana damu nyingi za watu mikononi mwao. Wanasahau nao ni wanadamu watakufa na kusahaulika
 
Hivi mmenwona huyo tuuu!! Je ule aliyesema Mungu amshukuru presida naye vipi? Kifimbo aliyeingizwa C19 ? .yote kwa yote hakuna wa afadhali!!!!
Wote hao pamoja na covidal 19 ni laaana kwa taifa letu🤪
 
Nkamia bado ana watoto wanaosoma?

Huyu jamaa nimemsiliza nikiwa Mdogo RTD

Ameongea kifasihi, alikuwa anamaanisha majukumu ya kifamilia.
Ila ameamua kutoa nyongo, wapo wengi design yake ndio maana unaona wote wanaolalamikia kauli yake ni wale wale machawa wamejistukia
 
I hope Rais Samia kasikia, nae ajifunze.

ajue na yeye wanamtumia tu, washamjulia, ukitaka kutongoza cheo msifie sifie tu huyu Mama analainika
Unakuta wanajua ila kuna baadhi ya watu hawana aibu wanafanya mambo ya kina mwijaku hadi huko serikalini.
Unakuta lijitu linasifia ujinga hadi anayesifiwa anaogopa kwamba hizo sifa sio zake
 
Ameongea kifasihi, alikuwa anamaanisha majukumu ya kifamilia.
Ila ameamua kutoa nyongo, wapo wengi design yake ndio maana unaona wote wanaolalamikia kauli yake ni wale wale machawa wamejistukia
Kama unamjua Juma wala huwezi kumshangaa 🐼
 
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga, ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!

Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela

View attachment 2987570

Godbless Lema
Mtandao wa X

====
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu

Namuunga mkono Lema 100%

Nawatakia Sabato Njema 😃
Juma Mkamia anaweza kuwa ni mpumbavu...ila wakati wa Magufuli CCM asilimia kubwa walikuwa wanajikomba n kumsifia ...huyu kaonesha uungwana kusema ukweli!. Mnakumbula.Mwigulu.alirudishwaje.Uwaziri ,Kun mwingine wa Mkuranga aliunga mkono.wizi.wa
Fedha za.korosho ...akalamba Uwaziri!.mbona Sasa hivi wote wanamsifia mama!
 
Kama ni kweli maneno haya ameyatoa yeye basi hafai kuwa kiongozi maana ana ndimi mbili.
 
Shujaa Magufuli alimtema alishagundua Unafiki wake yeye na Kessy wa Namanyele
Kwa kweli jpm alikuwa full dictator. Yaani alikuwa above katiba. Eti anaamua kumtema mtu kwa wishes zake tu. Kweli nchi ilipatwa. Mungu fundi
 
Ameongea kifasihi, alikuwa anamaanisha majukumu ya kifamilia.
Ila ameamua kutoa nyongo, wapo wengi design yake ndio maana unaona wote wanaolalamikia kauli yake ni wale wale machawa wamejistukia
Kweli
 
Back
Top Bottom