Pre GE2025 Juma Nkamia: Hayati Magufuli alipenda sana sifa hivyo nilimsifia ili Watoto wangu waende Shule

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lakini ni ukweli usiopingika, hayati alipenda sana sifa.
Ulikua ukisifia unakula mema ya Nchi.
Ukikosoa unaonekana adui wa Taifa.

Hayo ya Juma Nkamia ni matokeo ya watawala kupenda sifa za kijinga.

Taifa linaangamia.
Sasa mbona Nkamia hakula mema ya nchi na ubunge wenyewe akanyang'anywa na mwenzake wa Nkasi waloisema aongezewe muda?
 
Naunga mkono hoja huyu ni mpumbavu wa kiwango cha PhD
 
Wanaume wote wa ccm huwa nawaoana kama dada zangu.
 
Kama hii nchi haijamwandaa raisi mwenye kujali utu wa watu basi ni bora Samia aendelee kuwa Raisi hata wa maisha.

Magu alikuwa raisi wa hovyo sana kuwahi kutokea duniani.
IQ yake ilikuwa negative.
Yaani -0.
Maoni ya Nusu Degree 🐼
 
Yohana ,tuache unafiki.

Jiweke kwenye nafasi ya Nkamia kisha tuambie ungefanyeje? Mawaziri ,wabunge na watendaji wote waliotofautiana na Magufuli aliwapiga chini.

Ndugai katofautiana na Samia, kapigwa chini kwa kiini macho cha kuhadaa wananchi eti kajiuzulu.

Si ndio uchawa wenyewe huo au?
 
Huyu Juma ni alhaj ujue

Sasa Mwislamu gani muoga hivi?!! πŸ˜‚
 
Na yamevimbiana mule bungeni kwa ajili ya familia zao tu
 
Na akisifiwa alikuwa anahemka na kujaa upepo 😁😁😁😁

Kana kwamba haitoshi yule Jamaa alikuwa anaamini yeye ndio ana akili kuliko wote kumbe wajanja wanacheza na saikolojia yake 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…