PostGE2025 Jumanne Muliro azikataa Video za mauaji kipindi cha maandamano zinaosambaa mtandaoni, adai zimetengenezwa

PostGE2025 Jumanne Muliro azikataa Video za mauaji kipindi cha maandamano zinaosambaa mtandaoni, adai zimetengenezwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
450
Reaction score
3,368
Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili (DW), Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema Video za mauaji zinaosambaa mtandaoni zimetengenezwa na watu, na kwamba jeshi hilo kwa nyakati fulani limewahi kufanyia uchunguzi baadhi ya video zilizodaiwa kuchukuliwa kwenye baadhi ya maneno nchini likabaini hazikuwa na uhusiano wowote na maeneo husika.

Wakuu, eti ile ni AI, au si video za Tanzania?

Au labda ni video za Tanzania, ila hazihusiani na kilichotokea Oktoba 29, 2025?

Muliro, Mungu anakuona.

 
Hata waliozikwa ni wakutengenezwa au maiti nazo zilikuwa ni AI?

Polisi ni vibaraka wa ma ccm acheni kutueleza ujinga wenu.

Mlipiga raia, mliuwa raia sasa mnakuja na maelezo kwamba maiti zilitengenezwa.

Polisi mlikuwa wapi siku ya maandamano?
 
Back
Top Bottom