Nasikia alikimbilia chuo cha St Joseph kuificha familia yake timbwili lilipoanza.Tar 9 itabidi tupitie kwake kumsalimia
Inafika mahali mtu unaweza kukosa uvumilivu na kuandika shitAkihojiwa na Idhaa ya Kiswahili (DW), Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema Video za mauaji zinaosambaa mtandaoni zimetengenezwa na watu, na kwamba jeshi hilo kwa nyakati fulani limewahi kufanyia uchunguzi baadhi ya video zilizodaiwa kuchukuliwa kwenye baadhi ya maneno nchini likabaini hazikuwa na uhusiano wowote na maeneo husika.
Wakuu, eti ile ni AI, au si video za Tanzania?
Au labda ni video za Tanzania, ila hazihusiani na kilichotokea Oktoba 29, 2025?
Muliro, Mungu anakuona.
deny deny demy ia the only way he can.Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili (DW), Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema Video za mauaji zinaosambaa mtandaoni zimetengenezwa na watu, na kwamba jeshi hilo kwa nyakati fulani limewahi kufanyia uchunguzi baadhi ya video zilizodaiwa kuchukuliwa kwenye baadhi ya maneno nchini likabaini hazikuwa na uhusiano wowote na maeneo husika.
Wakuu, eti ile ni AI, au si video za Tanzania?
Au labda ni video za Tanzania, ila hazihusiani na kilichotokea Oktoba 29, 2025?
Muliro, Mungu anakuona.
Acha shobo wanapo jadili wanaume ... Mngese wwKwenda zako
Sijawi kuona watu wenye dharau kama viongozi wetu.....hawathamini uhai wa watanzania kweli loh.Wauaji wetu wanazidi kutukejeli, yaan wametuua na wameteketeza Miili, na bado wanatudharau namna hii!!.
DEC 9, tunakujua kivingine , tumekubaliana ni mpaka Wauue Watanzania wote asiwepo wa Kuwakosoa .
DEC 9 tukamuonyeshe Muliro kua KAMWE SHETANI HAJAWAHI KUSHINDA !!.
Kuna Maandamano Makubwa DEC 9, ni makubwa na ya kitofauti sana na ya Kipekee sana , maumivu yanayapelekwa kwao pia!!.
Nyumba zake 2 zimepigwa moto baadae alikimbilia KigomaMpuuzi huyo yeye mwenyewe alihama kwake akenda kujificha kambi ya JW Lugalo alikimbia AI?
Huyo baana anakuja in publick anatamka ujinga eti zimetenegenezwa, akiambiwa a prove ataweza?Wauaji wetu wanazidi kutukejeli, yaan wametuua na wameteketeza Miili, na bado wanatudharau namna hii!!.
DEC 9, tunakujua kivingine , tumekubaliana ni mpaka Wauue Watanzania wote asiwepo wa Kuwakosoa .
DEC 9 tukamuonyeshe Muliro kua KAMWE SHETANI HAJAWAHI KUSHINDA !!.
Kuna Maandamano Makubwa DEC 9, ni makubwa na ya kitofauti sana na ya Kipekee sana , maumivu yanayapelekwa kwao pia!!.
Kwa hiyo nayo AI imechoma nyumba zake, jinga kabisa huyo jamaa mwache asikilizie maumivu aliyopitisha waTZ na mikwara yake mbuziNyumba zake 2 zimepigwa moto baadae alikimbilia Kigoma
Sio chuo hadi mitaala, high ranking officers wanaongea utumbo mtupu (japo si wote) , ila huyu anapngea shit mbelr ya kizazi chenye wasomi wengiChuo cha CCP Moshi wanatuzalishia matatizo Tu. Gen Z fanyeni kitu pale