BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Mhh
Hakuna kipindi umesikia raha kama wakati huu. Naona wauwaji walikusuuza sana roho na nafsi yako😄😄😄.aisee kweli Chuma zilitembea.hadi yeye mwenyewe haamini anaona ni zimetengenezwa.ana haki ya kusema hivyo.maana SI jambo la kawaida.
Ila huyo atakufa vibaya narudia tena atakuja kufa vibaya Mungu hazihakiwi ....
wanajifanya makatiri kumbe waoga tu wanaogopa wazungu ndiyo maana wanaficha maiti kuficha ushahidi akili 0 kabisaAkihojiwa na Idhaa ya Kiswahili (DW), Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema Video za mauaji zinaosambaa mtandaoni zimetengenezwa na watu, na kwamba jeshi hilo kwa nyakati fulani limewahi kufanyia uchunguzi baadhi ya video zilizodaiwa kuchukuliwa kwenye baadhi ya maneno nchini likabaini hazikuwa na uhusiano wowote na maeneo husika.
Wakuu, eti ile ni AI, au si video za Tanzania?
Au labda ni video za Tanzania, ila hazihusiani na kilichotokea Oktoba 29, 2025?
Muliro, Mungu anakuona.
ICC inamngoja kama masihara vile ashajua hachomokiAkihojiwa na Idhaa ya Kiswahili (DW), Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema Video za mauaji zinaosambaa mtandaoni zimetengenezwa na watu, na kwamba jeshi hilo kwa nyakati fulani limewahi kufanyia uchunguzi baadhi ya video zilizodaiwa kuchukuliwa kwenye baadhi ya maneno nchini likabaini hazikuwa na uhusiano wowote na maeneo husika.
Wakuu, eti ile ni AI, au si video za Tanzania?
Au labda ni video za Tanzania, ila hazihusiani na kilichotokea Oktoba 29, 2025?
Muliro, Mungu anakuona.
![]()
![]()
Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili (DW), Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema Video za mauaji zinaosambaa mtandaoni zimetengenezwa na watu, na kwamba jeshi hilo kwa nyakati fulani limewahi kufanyia uchunguzi baadhi ya video zilizodaiwa kuchukuliwa kwenye baadhi ya maneno nchini likabaini hazikuwa na uhusiano wowote na maeneo husika.
Wakuu, eti ile ni AI, au si video za Tanzania?
Au labda ni video za Tanzania, ila hazihusiani na kilichotokea Oktoba 29, 2025?
Muliro, Mungu anakuona.