PostGE2025 Jumanne Muliro azikataa Video za mauaji kipindi cha maandamano zinaosambaa mtandaoni, adai zimetengenezwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili (DW), Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema Video za mauaji zinaosambaa mtandaoni zimetengenezwa na watu, na kwamba jeshi hilo kwa nyakati fulani limewahi kufanyia uchunguzi baadhi ya video zilizodaiwa kuchukuliwa kwenye baadhi ya maneno nchini likabaini hazikuwa na uhusiano wowote na maeneo husika.

Wakuu, eti ile ni AI, au si video za Tanzania?

Au labda ni video za Tanzania, ila hazihusiani na kilichotokea Oktoba 29, 2025?

Muliro, Mungu anakuona.

Hajakoma tu huyu Mbwa
 
Mukiro kajikaanga walah bora angesema tunafanyia uchunguzi, huyu atakuwa elimininated soon
 
Kuna wazee hawana akili kabisa, kama huyu jamaa.Usikute hata washauri wa mama wanamwambia hizo ni video fake.Hili taifa litaendelea kuteseka sababu ya wazee wa hovyo waliozaliwa 60's na watu wachache wa 70's kama mwanasheria mkuu mpyaa
 
Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili (DW), Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema Video za mauaji zinaosambaa mtandaoni zimetengenezwa na watu, na kwamba jeshi hilo kwa nyakati fulani limewahi kufanyia uchunguzi baadhi ya video zilizodaiwa kuchukuliwa kwenye baadhi ya maneno nchini likabaini hazikuwa na uhusiano wowote na maeneo husika.

Wakuu, eti ile ni AI, au si video za Tanzania?

Au labda ni video za Tanzania, ila hazihusiani na kilichotokea Oktoba 29, 2025?

Muliro, Mungu anakuona.

Amerudi tena baada ya kupotea. Inawezekana kabisa huyu bwana alikuwa nyuma ya haya yote.
 
Ni kweli zinaonekana ni AI kama siyo AI mbona keyboard warriors uchwara wa jf walisema wanaandamana na hakuna hata mmoja aliekufa?
 
Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili (DW), Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema Video za mauaji zinaosambaa mtandaoni zimetengenezwa na watu, na kwamba jeshi hilo kwa nyakati fulani limewahi kufanyia uchunguzi baadhi ya video zilizodaiwa kuchukuliwa kwenye baadhi ya maneno nchini likabaini hazikuwa na uhusiano wowote na maeneo husika.

Wakuu, eti ile ni AI, au si video za Tanzania?

Au labda ni video za Tanzania, ila hazihusiani na kilichotokea Oktoba 29, 2025?

Muliro, Mungu anakuona.

Yaani yeye anafikiri picha zikitengenezwa azipitishwi kwenya app zikahakikishwa. Zitapitishwa kwenye systems za IT itajulikana. Anafikiri huku nje watu wanafanya siasa za kijima kama za tanzania. Muliro, matukio ya tanzania hayaepukiki. Pia aelewe setelite atashikwa tu. Dunia ya leo akina Musk na wenzake waliisha irahisisha sana. Anakimbia tumbili aliyemlea mwenyewe, ngoja tumbili amkwaruze hivi karibuni. Jiandae kunyolewa wewe Muliro. Wenzio ndo wanafanya submission, itafuata preliminary exam. Kumbe mabalozi nao waongo. Kibaya zaidi idadi ya waliokufa itammaliza asubuhi. Hii kesi itawaramba tu. Jipange ndugu Muliro
 
Back
Top Bottom