ibrah0102
JF-Expert Member
- Jul 21, 2023
- 461
- 772
A
Angesema kutengeneza nani kwa maslahi gani? Ni lini jeshi la polisi lilifanya uchunguzi na kugundua kuwa zile video nizakutengeneza?Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili (DW), Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema Video za mauaji zinaosambaa mtandaoni zimetengenezwa na watu, na kwamba jeshi hilo kwa nyakati fulani limewahi kufanyia uchunguzi baadhi ya video zilizodaiwa kuchukuliwa kwenye baadhi ya maneno nchini likabaini hazikuwa na uhusiano wowote na maeneo husika.
Wakuu, eti ile ni AI, au si video za Tanzania?
Au labda ni video za Tanzania, ila hazihusiani na kilichotokea Oktoba 29, 2025?
Muliro, Mungu anakuona.