Hivi hakuna sniper mmoja atuondolee huu uchuro
Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili (DW), Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema Video za mauaji zinaosambaa mtandaoni zimetengenezwa na watu, na kwamba jeshi hilo kwa nyakati fulani limewahi kufanyia uchunguzi baadhi ya video zilizodaiwa kuchukuliwa kwenye baadhi ya maneno nchini likabaini hazikuwa na uhusiano wowote na maeneo husika.
Wakuu, eti ile ni AI, au si video za Tanzania?
Au labda ni video za Tanzania, ila hazihusiani na kilichotokea Oktoba 29, 2025?
Muliro, Mungu anakuona.