Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umasikini wa akili ulionao ni mkubwa sana kama hujui utajiri wa Mbowe hiyo nyumba kwake si kitu...Kwa kukujuza ni kwamba Mbowe mpaka sasa Bado anatumia utajiri wa Babu yake hajagusa wake wala wa baba yakeAmeandika Dr. Sisimizi
Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame.
View attachment 2812700
Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kupokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe weekend hii aliwaita baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu (Heche, Lema na Msigwa) kwa ajili ya kushuhudia uzinduzi wa nyumba hiyo mpya ya Mbowe ambayo ameijenga kwa miezi 3 tu.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu wamehoji Mwenyekiti Mbowe amepata wapi hela za kujenga nyumba ya kisasa ya ghorofa kwa miezi 3 tu, tena wakati ambao shughuli za chama zimekwama kuendelea kwa kisingizio kuwa ruzuku imeisha mpaka watakapoingiziwa tena Disemba 2023.
Hoja yao inaonekana ina mashiku kwa sababu, ndani ya CHADEMA wenye mamlaka ya kuidhinisha pesa kutolewa (Signatories) ni watatu tu Mwenyekiti Mbowe, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salim Mwalimu na Mjumbe wa Baraza la Udhamini Mzee Mtei.
Hii inaonesha bado hakuna kuaminiana baina ya Mwenyekiti Mbowe na baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu ukiwatoa wale wanaokula nao sahani moja (Lema, Msigwa, Heche, na Salim Mwalimu) na wengi wanachojiuliza inawezekanaje Chama kikose hela ya mafuta ya Chopa halafu Mwenyekiti anazindua nyumba yenye thamani ya Milioni 500.
Ndugu zangu tuendelea kufuatilia kwa karibu, ndani ya CHADEMA kuna Bundi anazengea na muda si mrefu tutaanza kusikia vilio vya kuomboleza kwa sababu najua Tundu Lissu hawezi kukaa na kuyafumbia macho yanayoendelea mule ndani.
Mshangao upo CCM maana wanaiba na kununua appartment DUBAI na Marekani, Mbowe hiyo ni nyumba ya kjijini.Ameandika Dr. Sisimizi

Hii sio jumba ni kanyumba.Ameandika Dr. Sisimizi

Ya kizimkazi au ile ya kulee?Hii sio jumba ni kanyumba.
Hebu myuwekeeni n Ile Kasri ya mama kuupiga mwingi tulinganishe.
Hii ni nyumba ya kawaida kule kijijini.
Je ingekuwa mjini! Isingekuwa hivi.
Mwambie ukweli huyu pimbi hajielewi kabisa!Kwani shughuli za chama zinahusianaje na vyanzo vya mapato vya mtu binafsi au familia ya kiongozi? Hizi ni akili au uharo?
Mbowe anapiga hela kwa wazungu kama kiongozi wa upinzani. Hachoki kuwahadaa anaenda kuiondoa ccm ya kijamaa na kuwapa chochote wanataka tz. Hizo za ruzuku hata akipiga kipapatio sio kitu🇹🇿😎😏Ameandika Dr. Sisimizi