field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 1,171
- 2,732
Familia ya Mbowe ilifanya kazi kwa bidii sana hadi kuweka misingi bora kwaJumba la kifahari la Mbowe.
View attachment 2813278
Mama yake Alphonce Mawazo kwenye nyumba ya Udongo.
View attachment 2813276
View attachment 2813281
Lazima tujifunze kitu hapa.
Familia ya Mbowe ilifanya kazi kwa bidii, kuwekeza kwenye biashara na kufanya kazi kwa bidii. Sasa nyie mliozoea kupewa mnatoa mawazo ya kijinga jinga. Ukikaa na kutegemea bahati utakufa maskini, acheni wivu wa kijinga ninyi.Jumba la kifahari la Mbowe.
View attachment 2813278
Mama yake Alphonce Mawazo kwenye nyumba ya Udongo.
View attachment 2813276
View attachment 2813281
Lazima tujifunze kitu hapa.
Kumbe ninyi ni wale wale mliokuwa mkipewa usimamizi wa mali ya umma mnaiba pesa za wananchi. Msione wivu, lazima kuwe na matajiri na maskini....Formula ni rahisi sana, ukikaa ukitegemea ndugu au usaidiwe utabaki maskini lakini ukifanya kazi zako kwa akili utafika mbali sana.