Kwa machame hiyo siyo nyimba banda na hata Ole ya mengi Kwa machame nado mbele ya nyumba ninazozijua hapa Machame za wafanyinishara labda huko kijijini kwenu. Nyumba tuu ya Baba ale mbowe ni nzuri kuliko hii
 
Umasikini wa akili ulionao ni mkubwa sana kama hujui utajiri wa Mbowe hiyo nyumba kwake si kitu...Kwa kukujuza ni kwamba Mbowe mpaka sasa Bado anatumia utajiri wa Babu yake hajagusa wake wala wa baba yake
 
Nakumbuka nikiwa huko ccm tulimpeleka kigogo Fulani akachanjwe Kwa mganga sasa kutokana na mazingira kutokuwa rafiki tukaombewa mahala pa kulala Kwa kada mwenzetu Mimi nilipelekwa chumba flani kitanda Cha kamba usiku nikavamiwa na siafu nilipoanza kuhangaika mwenye nyumba akaja na kamba nne kitanda kikafungwa kikawa kinaning'inia kama pendulum bob na mzee ni kada kwelikweli na ndivyo ccm wanavyotamani watu wawe hivyo wakiona unajenga nyumba nzuri inayokaribina na vigogo wa chama Chao lazima washangae maana wao wanajizolea wanachotaka na huku kwingine wamebana Kila Kona sasa unategemea Nini wakiona mtanzania mwingine tena siyo kada wao kujenga jumba zuri?

Kama Kuna mtu anamshangaa Mbowe kujenga nyumba ya mil 500 kivyovyote atakuwa kada wa ccm kama siyo ACT wazalendo lakini mzee wa ubwabwa Hashim Rungwe Spunda hawezi shangaa maana yeye ndiye mswahili wa Kwanza kuanzisha duka la magari mwanzoni mwa miaka ya themanini hapa dsm hawezi shangaa lakini machawa wanazimia.
Na hii inatokana na vigogo wa ccm huwa hawawakaribishi machawa nyumbani kwao huishia nao vichochoroni na kuwapakia kwenye mafuso utadhani mihogo na unayakuta yanakenua, la kama wangeyajua makasri ya vigogo wa ccm Wala wasingeshangaa nyumba ya Mbowe.
Sasa kama mtu anasubir t-shirt ya kijani 2025 si ndiko shida imeanzia
 
Mshangao upo CCM maana wanaiba na kununua appartment DUBAI na Marekani, Mbowe hiyo ni nyumba ya kjijini.
 
Hii sio jumba ni kanyumba.
Hebu myuwekeeni n Ile Kasri ya mama kuupiga mwingi tulinganishe.
Hii ni nyumba ya kawaida kule kijijini.
Je ingekuwa mjini! Isingekuwa hivi.
 
Hii sio jumba ni kanyumba.
Hebu myuwekeeni n Ile Kasri ya mama kuupiga mwingi tulinganishe.
Hii ni nyumba ya kawaida kule kijijini.
Je ingekuwa mjini! Isingekuwa hivi.
Ya kizimkazi au ile ya kulee?
 
Mbowe anapiga hela kwa wazungu kama kiongozi wa upinzani. Hachoki kuwahadaa anaenda kuiondoa ccm ya kijamaa na kuwapa chochote wanataka tz. Hizo za ruzuku hata akipiga kipapatio sio kitu🇹🇿😎😏
 
Na ukiona nyumba alizojenga ugaibuni utashangaa. Kwa kuwa maisha ni mchezo, huo ndio mchezo wenyewe. Ukizubaa uwanjani tu unaliwa mtama wa kisawasawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…