Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

Yesu Na Yusuph Mkubwa Nani?
 
Shida dini ya kiislamu haijitoshelezi ikibaki peke yake ndo maana kila siku wanahainga na YESU KRISTO

Uislam hauna uwezo na hauna miguu ya kusimama peke yake na mungu wa kiislamu bila kupiganiwa ujue hamna kitu
Mkuu ukisema hivo unakosea.
Hujawahi kusikia mahubiri au mhubiri anasema toeni sadaka ili injili iende? Hapa inakuwa ana maana gani!?

Kila siku nasema shida ya sisi wengi huaga tunabebeshwa imani tusiyoweza kuzibeba.

Wewe subiria mdahalo kama utakuwa na aina yyt ya kebehi ndo ulete hapa.

Hakuna haja ya uwoga kwenye imani, jiamini na unachokiamin.

Kama mdahalo wake hautakuwa na hoja tunampiga marufuku asije tena hapa ila kama una manufaa twamkaribisha tena na tena.

Mim huaga nasikiliza saana mahubiri ya mapasta wengi akina mzee wa upako, hananja, na wale wachomoza ni mazuri mno na yanakujenga hata kama sio imani ya huko.
 
We chukua biblia soma kitabu chochote kimemtambua kuwa Yesu ni Mungu
 
We chukua biblia soma kitabu chochote kimemtambua kuwa Yesu ni Mungu
Kumbe ndo maana mna ogopa midaharo kumbe hata hiyo Bible mnayo jidai kuifuata hamuijui.
 
Inashangaza serikali kuruhusu mdahalo kama ule. Yaani serikali inakuwa kama kachanel fulani ka youtube
 
Serikali inaongozwa na rais mwenye mwelekeo wa Udini ukimwangalia kwa jicho pevu, ndio maana hawa wahuni wanakuja kulianzisha
 
Kumbe ndo maana mna ogopa midaharo kumbe hata hiyo Bible mnayo jidai kuifuata hamuijui.
Sasa bible hata ukielekezwa utaaelewa Nini wewe mfuga majini
 
Mtume si alikuwa mhuni kama wahuni wengine mwenye ushawishi jombaa alikuwa anakula pisi hatari hadi vitoto ingekuwa miaka hii ya haki za kinjisia mwamba angepigwa ban kifungo Cha maisha , sospa 1998 ingetembea naye
Mary was likely in her early teens when she had Jesus, most probably around 12 to 14 years old.
 
Mimi ni mkristo lakini sioni shida kama utakuwa mdahalo kweli na si maigizo. Mtu mwenyewe anayekuja hajui kudebate vizuri ana nyota ya kuwa maarufu tu.

Hapa kapigwa swali dogo tu kapoteana.


View: https://www.youtube.com/watch?v=k3tkqSNIh_4
Hawawezi kumtukana Yesu kama ni waislamu wanaojielewa.
 
2 Timotheo 2:23
[23]Walakini uyakatae maswali ya upumbavu yasiyo na elimu, ukijua ya kuwa huzaa magomvi.
But foolish and unlearned questions avoid, knowing that they do gender strifes.
 
Serikali inaongozwa na rais mwenye mwelekeo wa Udini ukimwangalia kwa jicho pevu, ndio maana hawa wahuni wanakuja kulianzisha
Kapitia pia Uganda na Kenya vipi na penyewe kuna viongozi wenye milengo ya kidini?
 
Sasa bible hata ukielekezwa utaaelewa Nini wewe mfuga majini
Umeanza kashifa ina maana umeshashindwa hoja ,sasa mtu kama ww ni lazima uogope midaharo kwa sababu huna elimu wala kifua cha kujadiliana kwa hoja.
Leta andiko linalo onesha Yesu ni Mungu.
 
Umeanza kashifa ina maana umeshashindwa hoja ,sasa mtu kama ww ni lazima uogope midaharo kwa sababu huna elimu wala kifua cha kujadiliana kwa hoja.
Leta andiko linalo onesha Yesu ni Mungu.
Hiyo
 

Attachments

  • Screenshot_20241230-181535.png
    606.4 KB · Views: 1
Mkuu Wala usiumize kichwa,Bwana Yesu hapiganiwi,la maana Ni kuilinda imani na kupiga injili,yaani ktk huo mdahalo ,Yesu atajipatia utukufu,na kuna nafsi zitavutwa kwake.
Vita yetu sii juu ya damu na nyama.
Walibezwa mitume na kuuliwa bado injili ikasonga mbele,sembuse mdahalo.
Yesu ni mfalme wa wafalme,Mungu wa miungu na ndiye atahukumu dunia yote.
Kila goti litapigwa kwake na kila ulimi utakiri kuwa yeye Ni Bwana,(kitaeleweka tuuu)
 
Kwa hiyo hilo andiko ndo linatoa uhalali wa Yesu kuwa Mungu?
Hilo andiko halina nguvu ya kudhibitisha kuwa Yesu ni Mungu.
Yesu mwenyewe kwa kinywa chake alisha kataa mara kibao kuwa yeye si Mungu.

Ya kwamba Mungu ana kula ,anaenda chooni kujisaidia,anajampa,anachoka,anakufa,ana sahau? Maana Yesu alikuwa na hizo sifa zote, aisee hii ni kufuru kubwa sana.

Wakristo wengi hamna elimu juu ya kitabu chenu na ndio maana viongozi wenu wana waburuza wanavyo taka na kuwageuza kuwa vyanzo vya mapato kwa sababu wana wajua kuwa waumini wao ni weupe kuhusu dini yao.
 
Ulimsindikiza huko?
Jibu swali uganda na Kenya nao kuna viongozi wa milengo ya dini ndo maana karuhusiwa kufanya muhadhara huko?
Yaani nyinyi wagaratia huwa mnajihesabia kwa kila kitu haki ndani ya nchi.
 
Waislamu hawawezi kumsemea Yesu. Hivyo, huo mdahalo lazima Wataalamu wa Kikristo washiriki vinginevyo itakuwa ni uchochezi wa kidini. Lakini sisi Yesu wetu huwa anajitetea maana yupo hai. Mohamed anatetewa na wafuasi wake maana ni mfu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…