Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

YESU wa Biblia tofauti na huyo wenu anayeitwq Issa ,

Kwanini mnapenda kujipendekeza kwa Yesu ?
Yesu haJawahi kuwepo duniani,kama alikuwepo thibisha,sie waislamu tunajua aliwahi kuwepo mtu aliyeitwa yehoshua na uyo ndiye issa mwenyewe
 
Walivyo mambumbu wanadhani Yesu ni wa kwao peke yao! Kumbe kwenye uislamu kwetu yupo, ni miongoni mwa mitume ya Allah.

Kama wao wanaona Masihi Issa mwana wa Mariam ni umoja katika utatu au mtoto wa Mungu, kwetu sisi uislamu ni matusi.

Hivyo tunatumia hiyo njia kuelimisha jamii ya kiislamu ifahamu hivyo!

Kama wao wana ushahidi wa juu wanachokisema tukutane kwa Mkapa. Waje kwa mdahalo!
Siku zote nasema tatizo la wakristo ni kujimilikisha vitu na kudhani ni vya kwao tu, wanaamini Yesu ni mali yao wakristo na wakati mwengine husema kuwa Qur'an imekopi maandiko yao ambapo ni Agano la kale wakati hata ukristo haukuwepo.
 
Mbona majini ni tofauti na malaika ila mnalazimisha majini kuwa ndio malaika waliyoasi lakini mnakataa Yesu kuwa sio Issa? Ukiangalia sifa za majini haziendani na asili ya malaika.

Yani mkristo anakubali kuwa hawa majini wana jinsia wapo wa kike na kiume, hufanya ngono ,huzaa na wanakula kitu ambacho sidhani kama malaika kiasili wako hivyo ila bado mkristo anasema hao majini ndio wale malaika waliyoasi.
Ulishaona wakristo wanahangaika na majini ?

Majini ni yenu hangaikeni nayo

Issa sio Yesu

Issa ni tapeli wa kiarabu
 
Povu lote hilo mkuu. Kila siku mnataka mkaliwe kimya tu,mkinibiwa kidogo inawauma weeee
Mahali popote huwa naongelea haki!

Imma iwe kwa muislamu mwenzangu au iwe kwa asiye muislamu.

Kwa sababu haki ni miongoni mwa sifa za Mungu. Hivyo popote patakapokuwa na haki yupo Mungu, nami ndipo nitakaposimama. Imma izungumzwe na mkristu, imma izungumzwe na myahudi au izungumzwe na mpagani. Maadamu kaizungumza haki nitasimama naye kwani mahali hapo pana Mungu.

Na nipo hivi kwenye majukwaa yote na ndivyo ninavyoishi.

Sitoi povu! bali nazungumzia hali halisi ya wakristo wa humu JF jinsi mlivyo! Mna chuki kubwa sana dhidi ya uislamu na wewe ukiwemo.

Na mfano mzuri humu Jf angalia kwa jicho.lq haki ni nyuzi ngapi zinazozungumzia dini ya mwenzake vibaya kama si wakristo humu?

Maadamu Mungu yupo anatosha kuwa shahidi. Marejeo ni kwake, ataenda kuhukumu baina ya hiki. Kisha tutajua baina yetu ni yupo aliyekuwa na moyo uliyo salama.
 
Ulishaona wakristo wanahangaika na majini ?

Majini ni yenu hangaikeni nayo

Issa sio Yesu

Issa ni tapeli wa kiarabu
Nishaona sana wakristo kuzungumzia majini mara hakuna majini wazuri mara majini wanaogopa jina la Yesu mara sijui wanaogopa nguruwe mara waislamu wanafuga majini na tunaona watu wanavyotolewa majini makanisani.

Kitu ambacho mnajichanganya ni kwamba Yesu sio mali ya wakristo, ni sawa Mungu kila mmoja atamueleza kwa aina yake ila mwisho wa siku anayekusudiwa ni huyo huyo Mungu mmoja.

Sasa wakristo mnalazimisha kuwa Yesu ni mali yenu kwamba vile mlivyomuelezea ninyi ndio iwe hivyo hivyo na huyo ndio Yesu kinyume na hivyo huyo sio Yesu.
 
humuoni mitandaoni?
Naona! Lakini kiwango chenu cha wakristo kimezidi.

Chuki yenu ni kubwa sana! Na huwa napita nyuzi kibao na nyingi Jukwaa la kimataifa n.k

Wakristo mmezidi kwa chuki! Mtaanza kumtukana Mtume wetu kipenzi, mtatukana mke wake, mnatukana maustadhi na masheikh zetu, mnatukana dini yetu yote kwa ujumla.

Na haitoshi inaweza ikawekwa mada tu kwa vile kazungumziwa mwarabu basi mnaingiza na dhihaka kabisa juu ya dini yetu!

Tumewakosea nini?
 
Mkuu miaka nenda rudi wakristo walisakamwa sana humu hasa zikikaribia sikukuu za Christmas na Pasaka bila kusahau mfungo wa kwaresma walikaa kimya ,mkatamba weee ila miaka ya saiv wakawaamulia daily kuwaanziahia nyuzi mkapata victim cards kutwa kulalamika mnaonewa hivi mara vile huku mkisahau mliyoyaanzisha yamewarudia
Mahali popote huwa naongelea haki!

Imma iwe kwa muislamu mwenzangu au iwe kwa asiye muislamu.

Kwa sababu haki ni miongoni mwa sifa za Mungu. Hivyo popote patakapokuwa na haki yupo Mungu, nami ndipo nitakaposimama. Imma izungumzwe na mkristu, imma izungumzwe na myahudi au izungumzwe na mpagani. Maadamu kaizungumza haki nitasimama naye kwani mahali hapo pana Mungu.

Na nipo hivi kwenye majukwaa yote na ndivyo ninavyoishi.

Sitoi povu! bali nazungumzia hali halisi ya wakristo wa humu JF jinsi mlivyo! Mna chuki kubwa sana dhidi ya uislamu na wewe ukiwemo.

Na mfano mzuri humu Jf angalia kwa jicho.lq haki ni nyuzi ngapi zinazozungumzia dini ya mwenzake vibaya kama si wakristo humu?

Maadamu Mungu yupo anatosha kuwa shahidi. Marejeo ni kwake, ataenda kuhukumu baina ya hiki. Kisha tutajua baina yetu ni yupo aliyekuwa na moyo uliyo salama.
 
Ila kubazi akikili za madrasaa zinawavuruga...wenyewe mmesema ni mdahalo..afu hapo hapo mnasema unahusu Muhammad &Jesus...huku mnasema tena hakuna against....iv mnajua maana ya mdhalo kwel nyie?...ikishakuwa Muhammad and Jesus hakuna neno mdahalo litatumika tena..
 
Mmemsakama sana Yesu Kristo mpaka pale mlipoambiwa ndo Issa wenu mkaanza kutapatapa na stories za kubumba. Papa akikohoa tu mnasingizia wakristo wote wamekohoa,akiongelea ushoga baaasiii kwenu burudani kusakama wakristo wote hamjali dhehebu wala itikadi yoyote,mnaunganisha tu. Mwamposa akifanya hiki au kile mnaanza masimango kwa wakristo
Naona! Lakini kiwango chenu cha wakristo kimezidi.

Chuki yenu ni kubwa sana! Na huwa napita nyuzi kibao na nyingi Jukwaa la kimataifa n.k

Wakristo mmezidi kwa chuki! Mtaanza kumtukana Mtume wetu kipenzi, mtatukana mke wake, mnatukana maustadhi na masheikh zetu, mnatukana dini yetu yote kwa ujumla.

Na haitoshi inaweza ikawekwa mada tu kwa vile kazungumziwa mwarabu basi mnaingiza na dhihaka kabisa juu ya dini yetu!

Tumewakosea nini?
 
Wakristo ni watu wa chuki sana dhidi ya uislam na waislam

Watu wengine waliokua na chuki dhidi ya uislam na waislam walikua ni wa Mongolia
Hivi hamsomi historia mkajifunza kama uislam ungekua unayumbishwa na vitendo vya chuki vya washirikina basi hata Wamongoli wangeweza (they had the means and the will) lakini kilichotokea yanabaki kuwa maajabu ya ALLAH S.W

Mtoa mada na baadhi ya wakristo wenye chuki dhidi ya uislam ni kwamba uislam ulikuwepo kabla hamjazaliwa na utaendelea kuwepo hata baada ya vifo vyenu
 
Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad

Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa hadharani na waislamu

Hili suala limekaa kichokozi, hawa wenzetu wameona upole wetu kama silaha ya kudhalilisha na kututukana hadharani

Waislamu hawaamini ukiristo, kwanini wajadili Imani wasioitaka
Huo mdahalo wa upande mmoja itakuwaje? Kama sio matusi na kebehi tu
Na sisi wakristo tukiamua kuweka mdahalo wa kumtukana Muhammad wao itakuwaje?

Nitashangaa kama taasisi za Kikiristo zitakata kimya, Kristo ambaye ni tumaini letu atatukanwa hadharani uwanja wa Taifa na kwenye TV na waislamu

Serikali ipige marufuku huu mdahalo wa kichochezi, ukifanyoka serikali iwe tayari Kwa mdahalo mingine itayohusu dini nyingine
Acha uongo na kueneza chuki
 
Uchovu wa kutafakari na ufinyu wa akili ndio mwanzo wa yote haya, hivi kwanini usinadi Dini yako katika angle yako bila kuwachafua wengine au ndio kutaka attention Ukiona Mtu anataka Sifa kwa Kumchafua Mwingine huyo ni Maku
 
Shida dini ya kiislamu haijitoshelezi ikibaki peke yake ndo maana kila siku wanahainga na YESU KRISTO

Uislam hauna uwezo na hauna miguu ya kusimama peke yake na mungu wa kiislamu bila kupiganiwa ujue hamna kitu

Uislamu umesimama wenyewe, ndio maana Mtume amekufa na Uislamu upo.

Siungi mkono suala la mijadala, sababu huwa ina faida chache kuliko hasara.

Kuna muda huwa tunawaonea sana huruma Wakristo sababu mmekuwa mnafata vitu kibubusa sana. Huwa hamuhoji kuhusu dini yenu na kujua hakika yake, hii nayo pia hupelekea mijadala kama hii kuzuka.

Simameni miteteee dini yenu, japo ni jambo gumu sana.
 
Back
Top Bottom