ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
- Thread starter
- #361
Yesu ni Mungu aliyevaa mwili akaja kwetu kama binadamu akaishi nasi ili kutimiza agano lakeKwa hiyo hilo andiko ndo linatoa uhalali wa Yesu kuwa Mungu?
Hilo andiko halina nguvu ya kudhibitisha kuwa Yesu ni Mungu.
Yesu mwenyewe kwa kinywa chake alisha kataa mara kibao kuwa yeye si Mungu.
Ya kwamba Mungu ana kula ,anaenda chooni kujisaidia,anajampa,anachoka,anakufa,ana sahau? Maana Yesu alikuwa na hizo sifa zote, aisee hii ni kufuru kubwa sana.
Wakristo wengi hamna elimu juu ya kitabu chenu na ndio maana viongozi wenu wana waburuza wanavyo taka na kuwageuza kuwa vyanzo vya mapato kwa sababu wana wajua kuwa waumini wao ni weupe kuhusu dini yao.
Hekima ya kimungu huwezi kuipima Kwa macho na akili yako