Uchaguzi 2020 Jumuiya za Madola ziheshimu maamuzi yetu watanzania

Yaani ziheshimu wezi na wizi?? Jiwe icc inamuita.

Siro usicheze na maandamano ya watanzania utaishia ICC halafu utaiacha familia yako
Mnadanganywa sana na kitu ICC ,akitangazwa huwezi kupinga popote na hiyo ICC mpaka tuwaue kwanza mnaweza kutushtaki na tena mpaka mahakama za ndani zisiwape haki ndipo mtupeleke ICC na vilevile Prof. Kabudi anaweza kuchomoa nyaya hata kabla Lissu hajatuchafua ni muda tu utaona mwenyewe.
 
Hahaha mbona sisi tulipiga kura kuiondoa ccm, zakwetu zilienda wapi?!
 

Sio watanzania wameamua bali vyombo vya dola. Na kila kilichofanyika kufanikiasha utawala huu wa dola tume ona kwa macho yetu.
 
Watuache kama tulivyo mbona wao wanamfunga assange, kumsaka kwa udi snowden sisi hatusemi sio kwamba hatuoni makosa Yao, la hasha , ni kwamba hayatuhusu..period!!!
 
Watuache kama tulivyo mbona wao wanamfunga assange, kumsaka kwabudi snowden sisi hatusemi sio kwamba hatuoni makosa Yao, la hasha , ni kwamba hayatuhusu..period!!!
Yani man hata wao Marekani now sio shwari kwa sababu ya Uchaguzi ni full matamko na mapolisi wapo na magari mitaani na wameua watu weusi kwa kutumia nguvu sana ila leo wanajifanya wanatoa macho Tanzania ,wachonganishi wapo Tweeter na walipewa blue tick dah inauma sana jamani watanzania wanavyotuchafua.

Cheki huu mkwara kwa Serikali ya Marekani

We are deeply concerned by reports of election irregularities, politically motivated arrests, and violence during United States' elections this week. We urge authorities to fully address concerns of irregularities and will review allegations of the use of force against civilians.

I
 
Sio watanzania wameamua bali vyombo vya dola. Na kila kilichofanyika kufanikiasha utawala huu wa dola tume ona kwa macho yetu.
Wewe hukupiga kura. Sisi tuliopiga ndio tumeiweka CCM madarakani.
 
Wewe hukupiga kura. Sisi tuliopiga ndio tumeiweka CCM madarakani

Nasema hivi, upuuzi wote uliofanywa na genge la wakora wa ccm kwa kushirikiana na vyombo vya dola vinavyotumika vibaya, tumeona kwa macho yetu. Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Nasema hivi, upuuzi wote uliofanywa na genge la wakora wa ccm kwa kushirikiana na vyombo vya dola vinavyotumika vibaya, tumeona kwa macho yetu. Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Mapovu yatawaisha taratiiibu halafu maisha yataendelea mtahudumiwa na Serikali ya CCM
 
Mapovu yatawaisha taratiiibu halafu maisha yataendelea mtahudumiwa na Serikali ya CCM

Huo Ni ukweli mchungu kuwa ccm Ni kundi la wakora wenye madaraka. Kama Ni kuhudumiwa hata wakoloni walituhudumia maana sio hisani, bali Ni kodi za wananchi.
 
Tutayapinga vikali mapinduzi haramu ya CCM ya October 28.
 
Hatimaye Tanzania tumemshinda Shetani
Kwa kweli watanzania wamewaonyesha mabeberu ni jinsi gani walivyoamka na hata kukataa kuandamana na hao vibaraka wao sijui watawalipa nini kama waliwekeza!!!!
 

Ipo tofauti ya wananchi kupiga kura ili kuwapata washindi.Na tayari kuwa na washindi mfukoni zoezi la kupiga kura likawa Kama kutimiza formula tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…