Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Mnataka mtu kutoka Texas Marekani ndio awe mbunge wa Bukoba??James Kimodoi Njoo uchukue Jimbo Bukoba mjini.
Kijana kimodoi kutoka Texas nchini Marekani tunakuomba uje uchukue Jimbo Bukoba mjini .
Tunahitaji Kijana Mzalendo na mchapa Kazi na anayejitambua.
Wananchi wanakuhitaji wewe tu
Ndio mkuu , huyo ndo amekuwa akihudumia jimbo tangu 2015 -2025Mnataka mtu kutoka Texas Marekani ndio awe mbunge wa Bukoba??
Vipi teeena si ameitwa achukue jimbo RIp teeenaRip kimodoi
Hata mimi nimemshsngaa mleta mada.Mnataka mtu kutoka Texas Marekani ndio awe mbunge wa Bukoba??
Akiwa mbunge atakaa hapohapo, Bukoba itakuwa miksa ya Texas na Rio DejeneiroMnataka mtu kutoka Texas Marekani ndio awe mbunge wa Bukoba??
Itakuwa kweli kafariki nimeona uzi mwingine kaanzishiwaVipi teeena si ameitwa achukue jimbo RIp teeena
Byabato ni moja ya wabunge wachache waliojitahidi at least kuiamusha BukobaByabato alivyopata ubunge akaacha kupokea simu za wana Bukoba, akajenga majumba Mwanza,Dodoma na Dar badala ya Kagera. Kila mtu atakula alikopeleka mboga, aende huko alikojenga.
Bado kaka yake JAMCO anamkimbiza kimya kimya, maana aliongoza katika kura za maoni 2020,na amejenga ukuta wa Bukoba Secondary
Byabato na Makamba waliiba hela wizara ya nishati na ya mambo ya nje ndio maana Rais akawafukuza kazi. Walikuwa wanakula hela za kujengea bwawa la mwalimu Nyerere, kama sio Dotto Biteko, sijui ingekuwajeByabato ni moja ya wabunge wachache waliojitahidi at least kuiamusha Bukoba
Wanavunja soko, barabara ya njia nne, traffic lights, kaondoa aibu ya stendi, taa za Barabara nk nk
Mimi sio mwanasiasa, lakin bora ya byabato. Wengine wanakuaga wahuni tu.
Hao wengine ni wahuni. Kujenga ukuta wa shule hakumfanyi kuwa kiongozi bora. Mpaka Magufuli kumkataa huyo jamco. Aliona mapungufu. Magufuli alikuwa mfuatiliaji mzr sana
Hiv ukiambiwa ulete ushahidi utaleta?Byabato na Makamba waliiba hela wizara ya nishati na ya mambo ya nje ndio maana Rais akawafukuza kazi. Walikuwa wanakula hela za kujengea bwawa la mwalimu Nyerere, kama sio Dotto Biteko, sijui ingekuwaje
Mama Muhazi amepunjwa fidia ya ghorofa lake, Byabato hamtetei, anaangalia tuHiv ukiambiwa ulete ushahidi utaleta?
Siasa za namna hii zilishapitwa na wakati. Watu wameelimika siku hiz.
Mtu mwenye akili timamu ataiona Bukoba imebadilika kidogo kuliko zamani. Kwanza wahaya siku hiz wanapanga kitu kinatekelezeka? Wanaambiwa wapishe Barabara wanaikubali, watoke stendi wanatoka, watoke soko lijengwe upya wanakubali!
Uongozi uko imara sana siku hiz maana miaka ya nyuma ikishindikana na Bukoba inahitaji uongozi huu.
Hebu Tafuta mambo mengine ya kufanya. Sio kujihusisha na siasa za majungu mwaka wa 2025. Hazina faida yoyote. Na Mungu anaadhibu vibaya sana