Tukifuata Sheria kabisa hata hiyo ndogo hakupaswa kulipa. Ile ni main Road, Barabara kubwa kabisa ya kitaifa, tukifuata Sheria , kila mtu ataugulia maumivuMama Muhazi amepunjwa fidia ya ghorofa lake, Byabato hamtetei, anaangalia tu
Lazima tumtetee mama Muhazi dhidi ya Byabato na udhulumati wakeTukifuata Sheria kabisa hata hiyo ndogo hakupaswa kulipa. Ile ni main Road, Barabara kubwa kabisa ya kitaifa, tukifuata Sheria , kila mtu ataugulia maumivu
Au hukuona maumivu ya Barabara ya kimara?
Wananchi wa Bukoba sasa wanaenda kupata Barabara Pana na yenye standard inayoingia katikati ya mji. Wabunge wote na viongozi wote wamepita tu kazi kugombana na siasa za majungu kama zako.
Wew utakuwa old school tu.