Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Kwa ushahidi upi alionao Power?Hivi mshapata kujiuliza kama ninavyojiuliza mmi?
Uwepo wa mtu aliefanya kazi kwa Sabaya na kuacha hamuoni kama kuna leta uzito kwenye hii kesi kwa upande wa Mbowe?
1.Machame iko Moshi mjini?
2.Nililipwa Dola na Euro na Mount Meru hotel bila risti?
3.Mara ya Kwanza nilikutana na Mbowe Oct 2020 baada ya kukamatwa Aug 2020 na kukaa gerezani Kwa miezi 11?
4.Mara ya pili nilikutana na Mbowe Jan.2020 huko Longido wakati Mbowe akiwa Mahabusu Segerea?