Justine Eliya Kaaya anayetoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

Justine Eliya Kaaya anayetoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

Kwa jinsi alivyojieleza leo huyo kaaya, mtu unaweza kuona kabisa kuwa hii ni kesi yenye mkono wa ccm na makondokando yao...
Halafu kakariri namba ya Simu ya Mbowe. Anasema alikuwa anapigiwa via WhatsApp" simu zote. Watsup call si lazima uwe na bando na network iwepo. Au ni kwamba wakitaka Ushahidi wa kupigiwa kimtandao ya kawaida hautapatikana?
 
Wanadai Sina permission ya kuangalia hizo attachment! Nakubali na Nashukuru, mimi siyo Mmeru anaye penda Wameru wenye ‘shile shile’, kuleeee nyai kabisa! Bora sijamwona!
HAta Mimi nimeambiwa hivyo. Sijui Zina nini hizo attachment?
 
Halafu kakariri namba ya Simu ya Mbowe. Anasema alikuwa anapigiwa via WhatsApp" simu zote. Watsup call si lazima uwe na bando na network iwepo. Au ni kwamba wakitaka Ushahidi wa kupigiwa kimtandao ya kawaida hautapatikana?
Wangeomba call logs toka huko whatsap kwenyewe . Hizi habari za kukariri haziwasaidii hata kidogo... na isitoshe huyo mbowe akisema hiyo si number yake wata prove vipi kama ni yake?
 
Akihojiwa na online media, shahidi katika kesi ya Mbowe bwana Kaaya amesisitiza yeye sio mwanachama wa chama chochote cha siasa...
IMG-20211027-WA0187.jpg
 
Akihojiwa na online media, shahidi katika kesi ya Mbowe bwana Kaaya amesisitiza yeye sio mwanachama wa chama chochote cha siasa...
Watu wa Arusha siyo wa kuwaamini kabisa.

Kwani akikiri tu kuwa ni mwanachama wa CCM kuna ubaya gani?

Watu wa aina hii Nyerere hakuwataka kabisa.
 
Shati siyo chama bwashee.

Hata mgambo wa Mtume Mwamposya wanavaa sare za kijani!
Sawa lakini ktk maelezo aliyoyatoa polisi, amesema yeye ni mwanachama na kada wa ccm na alikuwa mtumishi mwaminifu wa Sabaya. Mahakamani amepindua Meza Sasa tu jiulize Kunani hapa??
 
Sawa lakini ktk maelezo aliyoyatoa polisi, amesema yeye ni mwanachama na kada wa ccm na alikuwa mtumishi mwaminifu wa Sabaya. Mahakamani amepindua Meza Sasa tu jiulize Kunani hapa??
Yeye anadhani mahakamani ni kwenye kikao cha chama!
 
Wewe ndio unaona anajichanganya mwenzio kakuambia anazo figo zake, simu ni yake na account ni yakwake pia, kufuta lini na kwanini ni kiherehere chako tu Mmeru wa watu anazo sababu zake kama ilivyo kwa figo na mabandama yake,… we huna kwani?

Kwa hiyo Kama unafigo zako sijui nini zako ndio utumike kutoa ushahidi wa uongo Mahakamani dhidi ya mtu mwingine naye mwenyewe figo zake pia.

Huyo jamaa ukifuatilia ushahidi wake unaonekana wazi ni wa kupika .
 
Acha uongo wa mitaani; zingatia ushahidi wa kisheria sio uzushi kujaribu kuharibu taswira ya mwenendo wa kesi ambayo mwamuzi sahihi ni mahakama pekee sio wewe.
Kwa kuzingatia ushahidi wa kisheria uitwao... circumstantial evidence/ushahidi wa mazingira unaonyesha shahidi ni mshirika mkubwa wa CCM na jambazi Sabaya.

Hii kisheria inaonyesha kuwa mambo yote hayo yalipangwa na sio maneno ya mitaani.
 
Kwa kweli ndugu zangu tuacha huu uhuni wa siasa na kupoteza muda.

Viongozi wa dini tunaomba muungane kutengeneza Tanzania itakayowatendea raia wake haki na kupata mlo. Wanakokwenda Hawa vijana ni kubaya zaidi.

Nadhani uwezo huo mnao.
 
Back
Top Bottom