Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,039
- 2,840
Halafu kakariri namba ya Simu ya Mbowe. Anasema alikuwa anapigiwa via WhatsApp" simu zote. Watsup call si lazima uwe na bando na network iwepo. Au ni kwamba wakitaka Ushahidi wa kupigiwa kimtandao ya kawaida hautapatikana?Kwa jinsi alivyojieleza leo huyo kaaya, mtu unaweza kuona kabisa kuwa hii ni kesi yenye mkono wa ccm na makondokando yao...