Ghulaam
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 1,861
- 1,461
Na ukawa PS wa makatibu wilaya wa hivyo vyama ambavyo ulivaaa uniform zao??binafsi nimevaa nguo za vyama karibu 3 na mimi sijawah kuwa wanachama wa hivyo vyama ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ukawa PS wa makatibu wilaya wa hivyo vyama ambavyo ulivaaa uniform zao??binafsi nimevaa nguo za vyama karibu 3 na mimi sijawah kuwa wanachama wa hivyo vyama ..
Hizo sababu zake ni pamoja na kuwazushia watu ushahidi wa uongo?Wewe ndio unaona anajichanganya mwenzio kakuambia anazo figo zake, simu ni yake na account ni yakwake pia, kufuta lini na kwanini ni kiherehere chako tu Mmeru wa watu anazo sababu zake kama ilivyo kwa figo na mabandama yake,… we huna kwani?
Uliwahi kushuhudia uongo kwa yeyote?binafsi nimevaa nguo za vyama karibu 3 na mimi sijawah kuwa wanachama wa hivyo vyama ..
Hii picha huyo jamaa aliyekaa angeozea miwani myeusi asingekuwa tofauti na wale mabwana vita wa kule DRC. Akina Bosco Ntaganda.hapa ni kabla hajagombana na Jenerali sabaya
View attachment 1988455
Huyu jamaa naye uchawa a auweza.hapa ni kabla hajagombana na Jenerali sabaya
View attachment 1988455
Hii picha huyo jamaa aliyekaa angeongezea miwani myeusi asingekuwa tofauti na wale mabwana vita wa kule DRC. Akina Bosco Ntaganda.
Huyu jamaa naye uchawa a auweza.
Chifu, Leteni masihara ...
Chagueni kuifwatilia hii kesi vyema.,
Mahakama iko huru na itatenda haki
Dogo justine kaaya namfananisha na yule Dogo akiitwa mwalimu ludovick kwenye kesi kama hii ya ugaidi vs lwskatareTaarifa zinaonyesha kwamba huyu mtu alikuwa mfanyakazi binafsi wa Sabaya, baadaye wakatofautiana kutokana na malipo, Yaani Sabaya alimdhulumu Kaaya malipo ya miezi mingi na ndipo Kaaya akaamua kuacha kazi za Sabaya.
Jambo la kuacha kazi lilimuudhi mtukufu Sabaya ambaye alilichukulia kama kiburi na dharau kwa DC, Sabaya akaamua kumkamata Kaaya na kumtengenezea kesi ya madawa ya kulevya. hadi makubaliano ya kutoa ushahidi wa uongo dhidi ya Mbowe yalipo kamilika ndio akafutiwa mashtaka yake.
Kwa wasiomjua Eliya Kaaya aliyekuwa mtumishi binafsi wa Sabaya tumewawekea hapa Ushahidi mwanana , sasa mnatakiwa muelewe mashahidi wa kumfunga Mbowe walikotokea .
View attachment 1988464View attachment 1988465View attachment 1988466
Akihojiwa na online media, shahidi katika kesi ya Mbowe bwana Kaaya amesisitiza yeye sio mwanachama wa chama chochote cha siasa.
Amesema kupiga picha na viongozi au kuvaa nguo ya chama cha siasa sio kigezo za kuwa mwanachama wa chama hicho.
Ameongeza kwamba mbona Kikwete alipiga picha na Tundu Lissu hamkuongea kitu.
Amesema kwamba watu waache kumfuata fuata kwani hawamlishi wala hawamvishi na kila mtu anafigo yake hapa mjini.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aache Uongo kwani kuwa Mwanachama wa CCM ni kosa? Mbona ni Sifa kubwa sanaAkihojiwa na online media, shahidi katika kesi ya Mbowe bwana Kaaya amesisitiza yeye sio mwanachama wa chama chochote cha siasa.
Amesema kupiga picha na viongozi au kuvaa nguo ya chama cha siasa sio kigezo za kuwa mwanachama wa chama hicho.
Ameongeza kwamba mbona Kikwete alipiga picha na Tundu Lissu hamkuongea kitu.
Amesema kwamba watu waache kumfuata fuata kwani hawamlishi wala hawamvishi na kila mtu anafigo yake hapa mjini.
Hapo ulikuwa unatafuta bwana lakini hukutokewabinafsi nimevaa nguo za vyama karibu 3 na mimi sijawah kuwa wanachama wa hivyo vyama ..
Huyo alikuwa anatafuta bwana kwenye hivyo vyama lakini hakuwavutiaNa ukawa PS wa makatibu wilaya wa hivyo vyama ambavyo ulivaaa uniform zao??
Jinsia yako tafadhali, ukakasi....Wewe ndio unaona anajichanganya mwenzio kakuambia anazo figo zake, simu ni yake na account ni yakwake pia, kufuta lini na kwanini ni kiherehere chako tu Mmeru wa watu anazo sababu zake kama ilivyo kwa figo na mabandama yake,… we huna kwani?
Akihojiwa na online media, shahidi katika kesi ya Mbowe bwana Kaaya amesisitiza yeye sio mwanachama wa chama chochote cha siasa.
Amesema kupiga picha na viongozi au kuvaa nguo ya chama cha siasa sio kigezo za kuwa mwanachama wa chama hicho.
Ameongeza kwamba mbona Kikwete alipiga picha na Tundu Lissu hamkuongea kitu.
Amesema kwamba watu waache kumfuata fuata kwani hawamlishi wala hawamvishi na kila mtu anafigo yake hapa mjini.
MaCCM ni ya hovyo kabisa , wanaiobomoa nchi wakiamini wanajenga uhai wa Chama Dola.Matokeo yake amekimbilia face na ku-deactivate account yake ila ikawa too late kumbe alivyokua kizimbani watu wameshamtembelea facebook wameshapakua picha za kutosha tu.
Je wewe mtukuka?!Mungu wetu wote ni waki .Ipo siku isiyo na jina hapa duniani mtalipa mambo haya.Adhabu haipo Mbinguni Iko hapa duniani.Hata wewe @ kipara kipya ulivyo mpenzi mtukuka wa CCM hilo ungeweza kulifanya.
Sijawahi kuona raia ambaye siyo askari akiwa amevaa nguo za askari. Ama tofauti na mwigizaji' sijawahi kuona raia amevaa sare za shulebinafsi nimevaa nguo za vyama karibu 3 na mimi sijawah kuwa wanachama wa hivyo vyama ..